Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukianza kutembea mkoa Kwa mkoa naomba nikusaidie kukubebea mizigo yako bro..nipo nasubiri hiyo tenderOntario aliwaweza sana yule jamaa[emoji23][emoji23][emoji23] mie sijaipata bado financial freedom ila natafta njia za kuipata nataka nianze kutembea mkoa kwa mkoa
Poa poa brazaUkianza kutembea mkoa Kwa mkoa naomba nikusaidie kukubebea mizigo yako bro..nipo nasubiri hiyo tender
Kaka nipo serious hivyo lknPoa poa braza
Kazi ya masaa 24 hii!hahaha et 1k per day af full time management..
Uache kazi ndo ufanye hii kazi sasa sijui utajiongezeaje hicho kipato...50post+maelezo ya kutosha,sio jambo la kutaniaHarafu Tangazo linasema jiongezee kipato daah...
yes mkuu uko interested?..Kazi ya masaa 24 hii!
Mkuu hivi unajua mtaani yupo muhitimu aliyekaa chuo miaka minne amehitimu vizuri leo yupo mtaani hana uhakika wa kukunja hiyo 50K hata mwaka mzima?hivi maisha unayachukuliaje mzee?We n linyonyaji haswa,maisha yalivyo magumu dar unamlipaje mtu sh elf 50?
Si bora kwenda kufanya kazi ya kumsaidia fundi per day 10k kwa mwezi haipungui 300k
Naunga mkono hoja hii.Mkuu hivi unajua mtaani yupo muhitimu aliyekaa chuo miaka minne amehitimu vizuri leo yupo mtaani hana uhakika wa kukunja hiyo 50K hata mwaka mzima?hivi maisha unayachukuliaje mzee?
Saidia fundi hao saidia fundi watakuwa wangapi mafundi wenyewe wana wadogo zao wanahangaika mtaani baada ya kutoka chuo na kukuta mtaani hola wanabebana kwenye kazi za kuunga unga,amesema ni kuanzia saa 1 mpaka saa 4/5 asubuhi still hii inamfaa yeyote ambaye amekaa hana mbele wala nyuma kwanza itamuongezea uelewa wa mambo pia atakutana na watu watakaomfungua akili hata huyu anayempa 50K leo ipo siku hiyo biashara itaenda vizuri kutokana na full time mda wa kazi ipo wazi ataona umuhimu wa kumuongezea mshahara.
Tujifunze kuanzia chini!
Mkoa kwa Mkoa is the wayOntario aliwaweza sana yule jamaa[emoji23][emoji23][emoji23] mie sijaipata bado financial freedom ila natafta njia za kuipata nataka nianze kutembea mkoa kwa mkoa