Jioni moja miaka mingi iliyopita na Subhash Patel

Jioni moja miaka mingi iliyopita na Subhash Patel

James...
Nacheka peke yangu.

Watu hawataki kusikia kuwa African Association (1929) na Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (1933) iliasisiwa na Kleist Abdallah Sykes Mzulu na Mzee bin Sudi Mmanyema.

Wanataka historia ya TANU na uhuru ianze na Julius Nyerere mwaka wa 1954.

Hawataki kusikia Earle Seaton na Abdul Sykes kadi ya TANU No. 3 ndiyo walipanga kwanza safari ya Nyerere UNO na hotuba alikuwanayo Abdul Sykes toka 1950.

Yaani nikishusha vitu hivi ndiyo barza inachangamka kila muuza kahawa akipita anaambiwa apige round kote na agawe kashata hata wale jamaa walio pembeni ya barza wauza vocha na kupiga rangi viatu.
Mzee shikamo. Ila Kuna aina ya uandishi nimeuzoea kutoka kwako. Sasa napo ona tafauti napata mushkeli na afya yako ya jumla
 
Mzee shikamo. Ila Kuna aina ya uandishi nimeuzoea kutoka kwako. Sasa napo ona tafauti napata mushkeli na afya yako ya jumla
Mwanadome,
Marahaba.

Najua nina staili yangu lakini mimi ukiniuliza ni ipi nitataabika kuieleza mtu aitambue.

Ama kuhusu afya yangu ndiyo kama ilivyo afya ya mtu mzima.

Mara miguu inauma, mara mgongo nk.

Lakini mimi kwa kuwa hili ni tatizo la umri nimechukulia kuwa siumwi kwa sababu nikiijenga fikra yangu kuwa mie mgonjwa kwanza ndiyo nitakuwa mgonjwa siku zote haya hayataniacha hadi wananilaza mwanandani.

Pili nitawashughulisha watoto watakuwa hawapungui kwangu kisa nini baba anaumwa.

Ala kuli hali hali yangu ndiyo hiyo.
Sijambo Alhamdulilah niko na Netflex.

Ningefurahi sana kama utanifahamisha vipi staili yangu ya uandishi imebadilika hadi wewe kuhisi naumwa.
 
..kumbe na wewe ni mtu mambo hayo?

..sasa unataka mzigo wa clarks casual, au dress shoes?

..au unataka Clarks wallabee?

[emoji1787][emoji1787]
JK,
Usitake kunishushia hilo zigo la "flashy dresser," mie peke yangu.

Wewe pia umo.
Ulijuaje haya yote?
 
Mwanadome,
Marahaba.

Najua nina staili yangu lakini mimi ukiniuliza ni ipi nitataabika kuieleza mtu aitambue.

Ama kuhusu afya yangu ndiyo kama ilivyo afya ya mtu mzima.

Mara miguu inauma, mara mgongo nk.

Lakini mimi kwa kuwa hili ni tatizo la umri nimechukulia kuwa siumwi kwa sababu nikiijenga fikra yangu kuwa mie mgonjwa kwanza ndiyo nitakuwa mgonjwa siku zote haya hayataniacha hadi wananilaza mwanandani.

Pili nitawashughulisha watoto watakuwa hawapungui kwangu kisa nini baba anaumwa.

Ala kuli hali hali yangu ndiyo hiyo.
Sijambo Alhamdulilah niko na Netflex.

Ningefurahi sana kama utanifahamisha vipi staili yangu ya uandishi imebadilika hadi wewe kuhisi naumwa.
Mzeee, uandishi wako huwa unajielekeza kwenye lengo la wazi wazi la andiko lako.

Sasa hapa hoja sijui ilikua ni hiyo filamu uliyo ona. ? . Au hoja ni kwenda nyumbani kwa patel miaka ya 70 wakati nyumba nyingi zikiwa hazina televisheni? .
 
Kila ninapoifikiria, "The Message," basi humkumbuka Subash Patel.

Sina zaidi ya hili.
 
Back
Top Bottom