Jioni ya 4/11/2019 safarini Uganda kibiashara

Hao matapeli wapo kwa njia ipi madukani au Lodge [emoji16]
Wako kila konaaa hahaha yani UG wakijua we mgeni nauli y boda y 3000 wanakuambia 4000 hats bidhaa nying ukiskia that's a wholesale price kumbe wapii hyo n rejareja yao bora ununue kwa wachinaa , na madukn tafuta utakayekuwa nae akuzungushee lasivyo utapigwa bei sana ... Kma huna MTU nipm nikuunganishe n kaka mmoja mbongo yuko vizuri mnakubaliana tuu malip kwa ela y Tz .pia usichange hela mpakan rate yao iko juu
Stend pale wachange kwa ratenzuri na usichange hela yote ya Tz
 
Namshukuru Mungu nimefika salama Ug, changamoto huku ni mawasiliano yaani kama unakuja huku Tafuta Lodge yenye Wi-Fi kidogo utarahisisha mambo otherwise utasanda
Umefika wap mzee baba!jamani nguo za uganda ni traamu!hebu fanya mchakato ufungue duka la watot nguo toa uganda
 
Miaka hiyo 2010 niliwahi msindikiza B-mkubwa wangu kampala ili nipate uzoefu wa biashara zake za nguo,nilikuwa bado secondary,now Jamaa zangu wanapiga dili safi na chafu huko,wa hadi vitambulisho vya Uraia vya Ug.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…