Jioni ya 4/11/2019 safarini Uganda kibiashara

Jioni ya 4/11/2019 safarini Uganda kibiashara

Hao matapeli wapo kwa njia ipi madukani au Lodge [emoji16]
Wako kila konaaa hahaha yani UG wakijua we mgeni nauli y boda y 3000 wanakuambia 4000 hats bidhaa nying ukiskia that's a wholesale price kumbe wapii hyo n rejareja yao bora ununue kwa wachinaa , na madukn tafuta utakayekuwa nae akuzungushee lasivyo utapigwa bei sana ... Kma huna MTU nipm nikuunganishe n kaka mmoja mbongo yuko vizuri mnakubaliana tuu malip kwa ela y Tz .pia usichange hela mpakan rate yao iko juu
Stend pale wachange kwa ratenzuri na usichange hela yote ya Tz
 
Miaka hiyo 2010 niliwahi msindikiza B-mkubwa wangu kampala ili nipate uzoefu wa biashara zake za nguo,nilikuwa bado secondary,now Jamaa zangu wanapiga dili safi na chafu huko,wa hadi vitambulisho vya Uraia vya Ug.
 
Back
Top Bottom