Kale ssebo nawe jebalekoJebaleko sebo/Nyabo
Endelea kutupa info mzeeBoda wa ug ukiongea kiingereza wanajua ww ni wa kuja lazima upigwe bei, wali wanaita mchele, ugali wanaita kaunga
Chakula bila matooke/ndizi bado hakijatimia
Naomba kuuliza hizi kadi za manjano, yellow card zinapatikana kupitia hatuanzipi na gharama za kupata yellow card ni shilingi ngapi?
Kama upo dar nenda pale mnazi mmoja hospital n sh 50000/=
Ndugu yangu sikupati kabisa kwenye mawasiliano.!!
Laki 6 ya Tz ni 1M ya UgKwa Uganda utakuwa na kama 900000 plus
Naomba kuuliza hizi kadi za manjano, yellow card zinapatikana kupitia hatuanzipi na gharama za kupata yellow card ni shilingi ngapi?
Kama upo dar nenda pale mnazi mmoja hospital n sh 50000/=
Kampala imebadilika sana siku hizi. Tofauti na early 2000s wakati tunasoma huko. But all in all kama sio mjuzi wa machimbo ya vitu au places kuwa mpenzi mtazamaji zaidi kuliko muongeaji hasa kiswahili. Watakunyoosha.
Umenikumbusha mbali Kireka bweyogerere nakawa kikoni bwaise (kwa masela) bugolobi kwa watoto wa kishua mengo nakasero natete nalya lugogo arua park mukono namanve seeta dah kitambo sana
Ongezea na binyebwa na butunda maisha ya Uganda raha sana ukijuwa jinsi ya kuya ishi daahBoda wa ug ukiongea kiingereza wanajua ww ni wa kuja lazima upigwe bei, wali wanaita mchele, ugali wanaita kaunga
Chakula bila matooke/ndizi bado hakijatimia
Asee ni vipi? Gabs Mkuu wanahitaji nini zaidi ili uweze kusurvive pande hizo..?changamoto za mgeni n zipi?Mzee safi sana yan umenkumbusha mbali sana hzo early 2000s kitu cha kampala nakumbuka nlkua napanda sana Spider na Akamba coach bt cjui kama bado zpo.........maisha ni safari kwa kwel...karibun gabs botswana tupo tunapambana huku
Kale seboJebaleko sebo/Nyabo
Hii chakula inaitwa Chikomando. Ni mchanganyiko wa vyakula kibao.Mtu anakula ugali,wali,viazi,ndizi,mihogo vyote kwa pamoja ktk mlo mmoja.
Kijiko hakitumiki sana, huku ni uma/folk ndo wanatumia kula kila chakula hata ugali wanatumia folk.
Vimini vyenye mipasuo ni kawaida na watu hawashangai, maumbo ya kibantu huku ndo kwao, kwa wale wachamungu ni mtihani sana huku.
Biashara imeshamiri sana kila mtu anajishughulisha ni wachache sana wavivu, wizi upo kwa kiwango kikubwa tena mchana,kuwa makini na simu yako pamoja na begi.
Tubasanyukidde.
Experience 2019.