OK kwa Mimi nilichofata nilifanikiwa na haukua mzigo mkubwa kulingana na pesa niliyokua nayo so hata border sikulipa UshuruUlifanikisha kilichokupeleka?
Kuna utofauti gani na hapa Dar?
Ushuru ulilipa kiasi gani?
Gharama za kusafirisha huo mzigo ulilipa kiasi gani?
Kama upo dar nenda pale mnazi mmoja hospital n sh 50000/=
Kweli kabisa biashara. Duh mzee kitambo sanaSio biashara house hapo mtaa ulio kuwa na wasudani wengi sana ule
Ukubali.kuchanganyiwa na kanjanja pia. Usijaribu kubadili pesa nyingi Border yoyote kuanzia busia malaba mtukula utalia kilio cha mtu mzimaWenyeji wanashauri uwe na mtu Kampala ukifika Mtukula unauliza rate ya kule town ni ngapi mfano mimi border rate ilikua 1.58 wakati town ilikua 1.56
Mzee safi sana yan umenkumbusha mbali sana hzo early 2000s kitu cha kampala nakumbuka nlkua napanda sana Spider na Akamba coach bt cjui kama bado zpo.........maisha ni safari kwa kwel...karibun gabs botswana tupo tunapambana huku
Umefika wap mzee baba!jamani nguo za uganda ni traamu!hebu fanya mchakato ufungue duka la watot nguo toa uganda
Traamu, ndio nini??
Kwa huo huo mzigo uliochukua je unadhani utakulipa ukilinganisha kama ungechukua mzigo huo huo DAR?OK kwa Mimi nilichofata nilifanikiwa na haukua mzigo mkubwa kulingana na pesa niliyokua nayo so hata border sikulipa Ushuru
kuhusu tofauti ya Dar na Kampala inaweza kuwepo au isiwepo hiyo Itategemea na kitu gani unachukua na namna ya wewe utakavyo bargain nao
kuhusu Nauli ya Mzigo Mimi sikulipa ni kama nilivyosema mzigo wangu uliishia kwenye begi wote so sikulipa Nauli
Hii Kuchenji hela mpakani naona kama unajirisk hv yan ukitoka hapo uanze tena kupambana kuhifadhi mabando ya hela afu unakokwenda hukujui...bora ukachanji hukohuko mbele kwambele hata kama kuna utofauti sidhani kama hiyo tofauti itakugharimu sana.Ukubali.kuchanganyiwa na kanjanja pia. Usijaribu kubadili pesa nyingi Border yoyote kuanzia busia malaba mtukula utalia kilio cha mtu mzima
Mkuu Hiyo ID yangu ninayowaachia KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA KINAFAA?Hahaha nilikata passborder unaacha 🆔 yako unapewa passborder ukirudi unaacha passborder unapewa 🆔 yko
Hii ni Bei kubwa sana we nenda mpakani unaipata kwa 30,000/= tu
Hela yao Sio nyingi Maana wana noti ya Elfu 50,20,10,5,2,1 so ukiwa na milioni yao hata haituni mfukoniHii Kuchenji hela mpakani naona kama unajirisk hv yan ukitoka hapo uanze tena kupambana kuhifadhi mabando ya hela afu unakokwenda hukujui...bora ukachanji hukohuko mbele kwambele hata kama kuna utofauti sidhani kama hiyo tofauti itakugharimu sana.
Yaani mpunga" rushwa au ile 150,000/=? Tupe mtonyo tujue namna ya kuwashughulikia hapo Uhamiaji.Mkuu mie ndo nimetoka migration kurenew yangu, ukiwa na mpunga simpo tu
Muhimu sana ukifika Uganda Jitahidi kupata hotel yenye Wi-Fi kidogo utarahisisha mambo yako na kuna hotel bei ni 25,000/= ya kibongo ya kiganda ni 40,000/= pale unapata Wi-Fi na breakfast asubuhi .so ukienda mizunguko cm inakua ya kupigia Picha tu au kuangalia muda au calculator
Inayo ila kwa ww ambaye sio mganda itakugarimu sana , kama mimi simu yangu kitengo cha Wi-fi hakifanyi kazi so ilinibid kununua line ya kule na kusajiliwa na mwenyeji kupitia National id yake hapo lazima ikugarimu kidogo hiyo ilinisaidia kuweza kuingia online na kuongea na wateja wangu unless utafute hotel yenye wi-fi , au ujitoe ununue airtel ya kule , na pia Waganda wajanja sana anakuambia amekusajilia na national id unaitumia ndaani y siku tatu anaenda kuiblock [emoji38] mara paah huna networkKwani mitandao yao haina Data?
Mbona mleta mada hujatueleza vizuri kuhusu hiyo Kampala?
Bado hiyo ni kubwa sana nilikata Namanga Tsh 10,000/