Jioni ya 4/11/2019 safarini Uganda kibiashara

Jioni ya 4/11/2019 safarini Uganda kibiashara

Ulifanikisha kilichokupeleka?

Kuna utofauti gani na hapa Dar?

Ushuru ulilipa kiasi gani?

Gharama za kusafirisha huo mzigo ulilipa kiasi gani?
OK kwa Mimi nilichofata nilifanikiwa na haukua mzigo mkubwa kulingana na pesa niliyokua nayo so hata border sikulipa Ushuru

kuhusu tofauti ya Dar na Kampala inaweza kuwepo au isiwepo hiyo Itategemea na kitu gani unachukua na namna ya wewe utakavyo bargain nao
kuhusu Nauli ya Mzigo Mimi sikulipa ni kama nilivyosema mzigo wangu uliishia kwenye begi wote so sikulipa Nauli
 
Wenyeji wanashauri uwe na mtu Kampala ukifika Mtukula unauliza rate ya kule town ni ngapi mfano mimi border rate ilikua 1.58 wakati town ilikua 1.56
Ukubali.kuchanganyiwa na kanjanja pia. Usijaribu kubadili pesa nyingi Border yoyote kuanzia busia malaba mtukula utalia kilio cha mtu mzima
 
Mkuu vip uko botswana life ikoje ebu nipe uzi kidogo
Mzee safi sana yan umenkumbusha mbali sana hzo early 2000s kitu cha kampala nakumbuka nlkua napanda sana Spider na Akamba coach bt cjui kama bado zpo.........maisha ni safari kwa kwel...karibun gabs botswana tupo tunapambana huku
 
OK kwa Mimi nilichofata nilifanikiwa na haukua mzigo mkubwa kulingana na pesa niliyokua nayo so hata border sikulipa Ushuru

kuhusu tofauti ya Dar na Kampala inaweza kuwepo au isiwepo hiyo Itategemea na kitu gani unachukua na namna ya wewe utakavyo bargain nao
kuhusu Nauli ya Mzigo Mimi sikulipa ni kama nilivyosema mzigo wangu uliishia kwenye begi wote so sikulipa Nauli
Kwa huo huo mzigo uliochukua je unadhani utakulipa ukilinganisha kama ungechukua mzigo huo huo DAR?
 
Ukubali.kuchanganyiwa na kanjanja pia. Usijaribu kubadili pesa nyingi Border yoyote kuanzia busia malaba mtukula utalia kilio cha mtu mzima
Hii Kuchenji hela mpakani naona kama unajirisk hv yan ukitoka hapo uanze tena kupambana kuhifadhi mabando ya hela afu unakokwenda hukujui...bora ukachanji hukohuko mbele kwambele hata kama kuna utofauti sidhani kama hiyo tofauti itakugharimu sana.
 
Nikiwa kule kama nikiuliza kitu kwa kutema yai je nitaonekana Wakuja/Mgeni ili wanipige?
 
Nikiwa kule kama nikiuliza kitu kwa kutema yai je nitaonekana Wakuja/Mgeni ili wanipige?
Always mgeni ni mgeni but unakomaa nao wakisema bei wewe unashusha ili muanze kupanda kidogo kidogo
 
Hii Kuchenji hela mpakani naona kama unajirisk hv yan ukitoka hapo uanze tena kupambana kuhifadhi mabando ya hela afu unakokwenda hukujui...bora ukachanji hukohuko mbele kwambele hata kama kuna utofauti sidhani kama hiyo tofauti itakugharimu sana.
Hela yao Sio nyingi Maana wana noti ya Elfu 50,20,10,5,2,1 so ukiwa na milioni yao hata haituni mfukoni
 
Ulifikia wapi
Muhimu sana ukifika Uganda Jitahidi kupata hotel yenye Wi-Fi kidogo utarahisisha mambo yako na kuna hotel bei ni 25,000/= ya kibongo ya kiganda ni 40,000/= pale unapata Wi-Fi na breakfast asubuhi .so ukienda mizunguko cm inakua ya kupigia Picha tu au kuangalia muda au calculator
 
Kwani mitandao yao haina Data?
Mbona mleta mada hujatueleza vizuri kuhusu hiyo Kampala?
Inayo ila kwa ww ambaye sio mganda itakugarimu sana , kama mimi simu yangu kitengo cha Wi-fi hakifanyi kazi so ilinibid kununua line ya kule na kusajiliwa na mwenyeji kupitia National id yake hapo lazima ikugarimu kidogo hiyo ilinisaidia kuweza kuingia online na kuongea na wateja wangu unless utafute hotel yenye wi-fi , au ujitoe ununue airtel ya kule , na pia Waganda wajanja sana anakuambia amekusajilia na national id unaitumia ndaani y siku tatu anaenda kuiblock [emoji38] mara paah huna network
 
Back
Top Bottom