kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,571
- 1,760
- Thread starter
- #161
OK kwa Mimi nilichofata nilifanikiwa na haukua mzigo mkubwa kulingana na pesa niliyokua nayo so hata border sikulipa UshuruUlifanikisha kilichokupeleka?
Kuna utofauti gani na hapa Dar?
Ushuru ulilipa kiasi gani?
Gharama za kusafirisha huo mzigo ulilipa kiasi gani?
kuhusu tofauti ya Dar na Kampala inaweza kuwepo au isiwepo hiyo Itategemea na kitu gani unachukua na namna ya wewe utakavyo bargain nao
kuhusu Nauli ya Mzigo Mimi sikulipa ni kama nilivyosema mzigo wangu uliishia kwenye begi wote so sikulipa Nauli