Jioni ya leo nilikuwa DP World hapa kigali Mnyarwadwa kanicheka sana

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
" Mtz mwiriwe neza. Sasa nyie Watz akili zenu ni za namna gani bhana?! Ile siku bange (bunge) yenu imepitiza ile contract sisi wote tuliwacheka sana!"

" Mvaa ( yaani wewe ) uliona wapi hiyo mambo ya kuwapatia hii mtu ocean yenu iwe ya kwao? Mzee (Kagame) asingekubali hiyo mambo kabisa kabisa!"

" Tz mko na kila kitu kasoro akili yenu haiko sawa kabisa!"

" Anyway, urakoze cyane unanipatie mchele i numero ya mbele kabisa wangye."

Mnyarwanda.

NB: Bange/ Bunge.
 
Wao mbona weshindwa kutumia resources zao vizur atuchekani mbona
 
Nachojua ni kuwa DP inapingwa na wale wazee wa mailing pale bandari maa a uchumi wao ndip ulipo kwahiyo wanajaza sumu

Kingine ni kwamba mkataba bado aujawa wazi asilimia mia kuhusu uko na taratibu za kuvunja mkataba uho
 

Thamani ya Bandari ya Daisalamu ematathiminiwa na wataalamu wakajua ni kiasi cha Matirilioni ya shilingi ngani? Na hiyo thamani yake itumike kama mtaji wa kuendesha ubia na mwekezaji kwa win win mazingira ya.
 
Mtu anaweza kuwa na eneo dogo lakini likaleta good impact so watumie akili zao
Jambo letu ilikuwa ni resources zao ambazo umesema hazitumiki.

Maana ukiongelea population kama mojawapo ya resource.Namba ya wanyarwanda ni ndogo sana lakini pia katika udogo wao bado wanipiga hatua nzuri(kwahiyo hii resource imetumika vizuri)

Swali ni hili, ni resource hipi unayojua ipo Rwanda hajaweza kuitumia?
 
mueleweshe huyo pimbi
 
Cheap propaganda. Kwanini usimtafute Kagame mwenyewe ukaenda huko vichochoroni?.
 
Wao si wana akili watumie ni resources iyo aridhi yao ni ndogo ila wakitumia akili zao wanajikwamua kabisa
Kwa faida yako tu wenzetu walishafikia hatua damu salama hupelekwa hadi zahanati za polini huko na drone.

Kama haitoshi, ndiyo nchi pekee ukanda huu usiku ni sawa na mchana!

Kama haitoshi, ndiyo nchi inayotumiwa vizuri ujasusi wa kiuchumi ku shindana na nchi nyingine na wao sera zao za uwekezaji sizo za ujanja ujanja.

UKIWEKA VIPENGERE VYA HOVYO KWENYE MKATABA UHUSUO MASLAHI MAPANA YA NCHI UNAKULA CHUMA MCHANA KWEUPE! Kwao wao MASLAHI MAPANA ya NCHI ni kipaumbele namba moja.

Ndiyo nchi kwenye Ukanda huu ina kituo cha afya kila kijiji ( siyo Zahanati).

RUSHWA MWIKO NA UKIGUNDULIKA JELA AMA UNAPIGWA CHUMA.

Urakoze!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…