Jioni ya leo nilikuwa DP World hapa kigali Mnyarwadwa kanicheka sana

hatujaingia mkataba ila HAYA ni makubaliano.mkataba Ni NINI na makubaliano Ni NINI MKATABA NI MAKUBALIANO KATI YA PANDE KADHAA ZINAZOHUSIKA,JINSI YA KUENDESHA/KUTIMIZA/KUSHUGHULIKIA JAMBO/ MAMBO WALIYOPANGA. WAWEZA KUWA makubaliano ya KUPANGISHA, KUKODISHA, KUUZIANA MALI, KUAJIRIWA,KUOANA,NK. Hauwezi kusema kuwa SIJAOGA ILA NIMEJIMWAGIA MAJI NA KUJISUGUA NA SABUNI.
 
Hapa wapo msoga gang wapwani wanatuuza hivihivi watanganyika mmelala. Hiyo wanajimilikisha pote penye potential jamani. Madini,gesi,umeme,mafuta Ni kampuni zao tu
 
Habari bila picha/video clip dunia ya sasa sw na takataka tu
 
  • Ndio! Ni makubaliano yanayompa DP hati miliki ya kuwekeza kwenye BABDARI ZOTE ZA BAHARI NA MAZIWA TANZANIA BARA na maeneo yenye fursa za kimkakati bila kubugudhiwa MILELE. Ila wanasema sio mkataba.
  • Wapiga kelele OYEEE!!!
 
Alafu yeye huyohuyo Pk ndio kaja kutuingiza chaka
 
Nachojua ni kuwa DP inapingwa na wale wazee wa mailing pale bandari maa a uchumi wao ndip ulipo kwahiyo wanajaza sumu

Kingine ni kwamba mkataba bado aujawa wazi asilimia mia kuhusu uko na taratibu za kuvunja mkataba uho

Kile unachojua kieleze hapa Jamvini, upate kujibu hoja za Wanabodi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tunachekwa na mataifa jirani
 
Naujiliza maza ameusoma kweli huu mkataba hata kdg au Kitenge na Zembwela ndiyo wameusoma kwa niaba yake?
 
Wao mbona weshindwa kutumia resources zao vizur atuchekani mbona
Unazungumzia fedha za misaada ,au nn?

Nilitarajia useme ,kwahiyo kipindi kile kagame alivosema apewe bandari ya DSM ,wangetucheka pia
 
Sisi si wanyarwanda kama wao wameuza bandari zao siyo lazima na Tanganyika tufanye hivyo
 
Anyway, urakoze cyane unanipatie mchele i numero ya mbele kabisa wangye."


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anyway, urakoze cyane unanipatie mchele i numero ya mbele kabisa wangye."


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…