" Mtz mwiriwe neza. Sasa nyie Watz akili zenu ni za namna gani bhana?! Ile siku bange (bunge) yenu imepitiza ile contract sisi wote tuliwacheka sana!"
" Mvaa ( yaani wewe ) uliona wapi hiyo mambo ya kuwapatia hii mtu ocean yenu iwe ya kwao? Mzee (Kagame) asingekubali hiyo mambo kabisa kabisa!"
" Tz mko na kila kitu kasoro akili yenu haiko sawa kabisa!"
" Anyway, urakoze cyane unanipatie mchele i numero ya mbele kabisa wangye."
Mnyarwanda.
NB: Bange/ Bunge.