Jioni ya leo nina furaja kukutana na Dada mpika Uji

Acha kudanganya watu ww, hizo ni ndoto za mchana hakuna aliyetoboa kwa kazi hizo
Acha ubishi,wapo wengi tu mbona kina mak juice na zanana juice wana degrees ila wanauza juice?? Tena mak juice aliacha kazi benki na kuamua kuanza kuuza juice ila angalia alipofikia kwa sasa... Uoga wako umasikini wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui nani kakwambia jamii forum kuna watu wana shida za kujua maisha ya watu na jinsi wanavyopata riziki.
Kwani huko mitaani hamna ndugu au watu wa kawaida uwafundishe haya mambo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uthubutu ndiyo tatizo kubwa kwa wengi...

Yupo sector isiyo rasmin na anapiga hela hivyo... Anahusika kabisa kulipa kodi...

Cc: mahondaw
 
Acha kudanganya watu ww, hizo ni ndoto za mchana hakuna aliyetoboa kwa kazi hizo
Maskini wengi tanzania wana akili kama yako.

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Sijui nani kakwambia jamii forum kuna watu wana shida za kujua maisha ya watu na jinsi wanavyopata riziki.
Kwani huko mitaani hamna ndugu au watu wa kawaida uwafundishe haya mambo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nataka kufundishwa. Nimeelimika na mada. Ni vzr kitu kama unaona hakikufai ukipotezee. Wengine hii elimu inatufaa. Hatufanani.
Na hii mada ipo jukwaa la biashara. Ukitaka aongelee mambo gani?
 
Pongezi nyingi kwa huyo Dada, wenzake wengi wenye hali kama yake wanafikiria kudanga.

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Sijui nani kakwambia jamii forum kuna watu wana shida za kujua maisha ya watu na jinsi wanavyopata riziki.
Kwani huko mitaani hamna ndugu au watu wa kawaida uwafundishe haya mambo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekosea Jukwaa nazani unazania uko kwenye jukwaa la.mapenzi na kupendana.Kule ndo uwanja wako wa nyumbani.

Huku tunajadili mafaniko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli tupu mkuu, uoga wako ndo umaskini wako na ndio maana mie mchumba wangu nimemzoesha kukaa kwenye duka langu la kuuza majeneza!
 
connor,
Hili ni jukwaa huru ambalo kila mtu anaruhusiwa kuchangia kwa namna mbali mbali ikiwemo kukosoa mawazo ya kipuuzi kama yako.

Ulichoandika kina nihusu sana na ndio maana nikakwambia fikra zako ni dhaifu na ni za kimaskini sana, kwenye comment yako niliyokunukuu umeonyesha biashara ya mahindi haijawahi kumtoa mtu, una akili ya kufanya biashara kweli wewe?

Ndio maana nikasema maskini wengi au wenye vipato duni wasioridhika navyo hapa Tanzania wana fikra kama zako, kwa maana hawaamini katika biashara ndogo ndogo, badala yake wana fantasize biashara za mamilioni hata kama hawana uwezo.

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Emu tuambie hizo kuku unazofuga zimekupa mafanikio gani mpaka leo kama sio kunywa uji wa 500[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Unaona sasa kumbe mtu mwenyewe una akili za bata kiasi hiki?

Kwa hizi akili kuna mawili, ni ama wewe bado mtoto wa under 20 au ni chizi kabisa asiye na mbele wala nyuma.

Njoo Ghana hapa nikuonyeshe mfuga kuku maarufu Mwanamashauri alieanza na kuku 200 miaka ya 2000 ila Leo hii ana kuku zaidi ya 100,000 na income yake kwa mwezi sio chini ya 35m.

Yaani unauliza kabisa kuku zimemsadia nini, ujinga umekujaa wewe.

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…