Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Hongera sana dada, chochote unachofanya na kalamu mkononi. Mwisho wa siku mpunga kiasi gani? Ukiwa makini utageuzia mgongo kuajiriwa. Mtoa hoja aliniacha hoi eti tai shingoni lakini dada snakuacha mbali kwa chapaa. Jamaa aliweka degree yake sandukuni kajiingiza kulima sehemu ndogo vitunguu saumu. Degree yake ilimsaidia kupanua akili, sasa hivi ana kipato kizuri. Ukimkuta shambani hana tai ila vumbi kwa wingi kichwani. Jamani shikeni kalamu kwa kila jambo, mahesabu ni sabuni ya roho. Nakupa TANO mtoa hoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app