INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Mkuu naomba kujua bei ya laptop hp corei3 processor, hdd 500
 
Wa mikoani tunapataje huduma zenu?malipo ya usafirishaj mfano mwanza inakuwaje?hamna mawakala mikoan?
 

Inch 20 ni ya ac na DC yan umeme Wa kawaida na solar pia inatumia
HDMI
AV2
VGA
USB
Price 220,000
Mkuu hapa umenigusa, kuna watu Fulani wali nifungua solar Fulani na tv!

Sasa tatizo kupata DVD player na cable nyingine zinazokubali aina hiyo ya umeme! Wenyewe wanaita DC sijui!
Nisaidie kama utakua na aina hiyo ya cable au hata subwoofer ambazo zinaweza kukubali aina hiyo ya umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…