INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Popcorn machine unazo za aina hiyo kama unazo za aina nyingine waweza ziweka na gharama zake
449bf38a4090929bd2a80a6f9806d36c.jpg
 
Mkuu naomba kujua bei ya laptop hp corei3 processor, hdd 500
 
Wa mikoani tunapataje huduma zenu?malipo ya usafirishaj mfano mwanza inakuwaje?hamna mawakala mikoan?
 
ebcf4a04540466796d9b1459b905b65f.jpg

Inch 20 ni ya ac na DC yan umeme Wa kawaida na solar pia inatumia
HDMI
AV2
VGA
USB
Price 220,000
Mkuu hapa umenigusa, kuna watu Fulani wali nifungua solar Fulani na tv!

Sasa tatizo kupata DVD player na cable nyingine zinazokubali aina hiyo ya umeme! Wenyewe wanaita DC sijui!
Nisaidie kama utakua na aina hiyo ya cable au hata subwoofer ambazo zinaweza kukubali aina hiyo ya umeme
 
Back
Top Bottom