Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #281
Popcorn machine unazo za aina hiyo kama unazo za aina nyingine waweza ziweka na gharama zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Popcorn machine unazo za aina hiyo kama unazo za aina nyingine waweza ziweka na gharama zake
Na picha tafafhaliMkuu naomba kujua bei ya laptop hp corei3 processor, hdd 500
Ok na hizo pia zimeunganishwa na King'amuzi??Ila zile nioikwambia takufanyia lakitano ninzuri tu sema kampuni zao mpya ndio zinaingia kwenye ushindan
Mkuu hapa umenigusa, kuna watu Fulani wali nifungua solar Fulani na tv!![]()
Inch 20 ni ya ac na DC yan umeme Wa kawaida na solar pia inatumia
HDMI
AV2
VGA
USB
Price 220,000
Ndio mkuuOk na hizo pia zimeunganishwa na King'amuzi??
550,000Mkuu naomba kujua bei ya laptop hp corei3 processor, hdd 500
Mkuu nimekuuliza accessory Fulani hapo juu kama utakua nazo550,000
Zipo mkuuMkuu nimekuuliza accessory Fulani hapo juu kama utakua nazo
Nipe na bei zake ikibidiiMkuu una OTG CABLE hapo ofisini
Kama hutojali naomba picha yake mkuu,maana hizi solar ni nyingi sana ila hizo cable zake hazipatika kiurahisi na bei zake ili niaje nichukueZipo mkuu
Thanks, naomba na tv solar complete sethii yanjia moja![]()
Price 2150,000
Solar panel na accessories zake bei gani?![]()
Inch 20 ni ya ac na DC yan umeme Wa kawaida na solar pia inatumia
HDMI
AV2
VGA
USB
Price 220,000
Watt ngapSolar panel na accessories zake bei gani?
kwa full day unaweza tumia lita ngapiNi mzuri sana haili mafuta mengi kulingana na uwezo wake
2.5 mkuukwa full day unaweza tumia lita ngapi
Cable zipo nyingi ungeitolea maelezo mkuu hilo n jna tuNipe na bei zake ikibidii