INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

asante kwa majibu murua.
bila shaka gharama za usafiri pia ni zenu
nitamtafuta ndugu yangu nione namna ya kuwafikia
Gharama ww unachangia 5000tu mana kutuma mzigo mwanza shinyanga songea namikoa mingine yakanda ya ziwa huwa wanachaj hela nyingi kusafirisha kuliko mikoa mingine
 
kariakoo mimi huwa nanunua electronics kwa authorized dealers tu, masuka mengi hapo ni kanjanja
 
kariakoo mimi huwa nanunua electronics kwa authorized dealers tu, maduka mengi hapo ni kanjanja
 
Kwahyo mnauzia vitu stoo.. Ili kukwepa kodi siyo?
 
Weka pinetech picha za aina nyingine na deki za Tv pamoja na bei zake mkuu sorry kwa usumbufu
 
Si wengine sio wataalam bro ila nlikusudia pinetech zenye muonekano tofauti na hiyo na bei inayofanana au chini ya apo na deki za kawaida tu za Tv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…