Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #781
Gharama ww unachangia 5000tu mana kutuma mzigo mwanza shinyanga songea namikoa mingine yakanda ya ziwa huwa wanachaj hela nyingi kusafirisha kuliko mikoa mingineasante kwa majibu murua.
bila shaka gharama za usafiri pia ni zenu
nitamtafuta ndugu yangu nione namna ya kuwafikia