INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Mkuu home theatre ya son watt 250,300-350 naomba kujua bei zake au kama zaidi ila isizidi watt 1000
 
Mkuu home theatre ya son watt 250,300-350 naomba kujua bei zake au kama zaidi ila isizidi watt 1000
W300 takufanyia 300,000 spika ndogo 5 na w350 takufanyia 350,000 spika ndogo 5 ni LG na Sonny
 

Starx nchi55 warant 2 years Led bei Sawa na bure
Price 1300,000
 

Fan ya kisasa unaweza kuiweka popote na inabebeka ina hamishika pia kubwa na ina upepo mzuri
Price110,000
 

Ni feni ya ukutani yenye mfumo wa air cooler unaweka maji au barafu ina upepo mzuri kama AC
Price 180,000
 
AC inayo tembea ni fan ya kisasa yenye mfumo wa air cooler Unaweka maji lita 20+ inatoa upepo wa AC huna haja ya kuwa na AC hii unaweza kutumia popote price 430,000
 

Fane ya kisasa zaidi Unaweka maji baridi kama AC
Price 260,000
 
Ni brenda ndogo kwajili ya kusagia vitu vigumu
Price 95,000
 
Mkuu hii kwa bei ya mwisho unapokea shilingi ngapi?

Niko kijijini huku, lakini nilikuwa naomba unisaidie kuwapelekwa wajuu zangu Tunduru, wataipataje?
Tuna tuma popote Tanzania mkuu kwahilo usijali ila zinafikia stend ww ndio unaifata stand mkuu bei hy takufanyia hy mana kwenye kutuma huwa tunabanwa kulingana na thamani ya mzigo mkuu ili hata ukipotea wawajibike kulipa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…