Ipi hiyo?Hiyo imeisha ipo dizaini nyingine
Poa karibu kila mtu anawateja wake na ridhiki yake kuhusu lukos hatujaliNitamtuma dogo ofisini kwenu kuna vitu vingi nimevutiwa navyo, ila naona lukos yule atawapa upinzani,
Nime ipost hapoIpi hiyo?
Poa karibuNgoja mwsho wa mwez mkuu
Zipo aina nyingineVipi zile air-condition ndogo mmeshaleta
Mkuu mm naitaji kwa matumizi ya ofisini kwa uzoefu wako ni aina gan ya printer itafaa na aina ipi ya computer itafaa ushauri wako nipe na bei ya kila kimoja tufanye biashara.Inategemea unahitaji aina gani mkuu mana zipo aina mbalimbali na ukubwa tofauti nivema ungesema unataka ukubwa gani na aina gani
Poa karibu sana mkuuMkuu Amani mfaume,Shukrani kwa huduma zenu nzuri,Juzi juma mosi nilijipatia Friji safi kabisa.Sijutii hela yangu.
Ya nini samahanweka bei
Unataka kubwa ndogo au size ya katifridge
Kuna mid lakinne na middle laki sita nanusu