INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Nitamtuma dogo ofisini kwenu kuna vitu vingi nimevutiwa navyo, ila naona lukos yule atawapa upinzani,
 
Inategemea unahitaji aina gani mkuu mana zipo aina mbalimbali na ukubwa tofauti nivema ungesema unataka ukubwa gani na aina gani
Mkuu mm naitaji kwa matumizi ya ofisini kwa uzoefu wako ni aina gan ya printer itafaa na aina ipi ya computer itafaa ushauri wako nipe na bei ya kila kimoja tufanye biashara.
 
Back
Top Bottom