INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Mkuu kesho unafungua nije nichukue smart tcl ile 32 inch
Nina 370,000
Mkuu Mbona Kama unaleta joke kwenye u serious hiyo tcl ni smart hatakama isingekuwa smart huwezi kupata 32" kwa bei hiyo bei ni 480,000 haipungui labda iongezeke
 
Mkuu Mbona Kama unaleta joke kwenye u serious hiyo tcl ni smart hatakama isingekuwa smart huwezi kupata 32" kwa bei hiyo bei ni 480,000 haipungui labda iongezeke
Business is all about negotiation 370,000 hailipi toa 480,000 sasa mtu anakupigia ili tujadiliane kupokea napo ndugu upokei Dah basi nimejivuta mpaka 450 nipo njiani nakuja kuchukua respond kwenye number inaishia 27
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…