Ochumeraa
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 4,505
- 5,715
Pamoja na specification zakeUnamaanisha nitoe mi3 na75 ni aina gani hyo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na specification zakeUnamaanisha nitoe mi3 na75 ni aina gani hyo mkuu
Mkuu Mbona Kama unaleta joke kwenye u serious hiyo tcl ni smart hatakama isingekuwa smart huwezi kupata 32" kwa bei hiyo bei ni 480,000 haipungui labda iongezekeMkuu kesho unafungua nije nichukue smart tcl ile 32 inch
Nina 370,000
weka picha ya Panasonic flat inch 32
2 yrsguarantee mada gani
Karibu lini?ntakuja
OK 0672852415
...wako serious na kuokoa muda, ndo maana wanapata muda wa kutosha kufanya productive things..Wazungu bana hadi machine ya kuoshea vyombo..!!?? Kuna haha ya kuoa kweli..??
Business is all about negotiation 370,000 hailipi toa 480,000 sasa mtu anakupigia ili tujadiliane kupokea napo ndugu upokei Dah basi nimejivuta mpaka 450 nipo njiani nakuja kuchukua respond kwenye number inaishia 27Mkuu Mbona Kama unaleta joke kwenye u serious hiyo tcl ni smart hatakama isingekuwa smart huwezi kupata 32" kwa bei hiyo bei ni 480,000 haipungui labda iongezeke
Hebu weka picha yake mkuuWw tu na ulivyo jipanga nipe 780 nikupe upate kesi ya kuwadondosha watu kwa presha
Hivi kuna Lg ambazo sio smart? Maana kuna jamaa kanunua mwezi huu kwa Laki 5 .![]()
![]()
LG 32" smart TV
Price 680,000
Kama hicho mkuu ndio elfu kumi?Nahisi nilikujibu whatsapp mkuu
Ila kipo
Dongo USB ipo mkuu
Boss cheki movie mpaka asubuhi kwa hasira furahia huduma zetu popoteBusiness is all about negotiation 370,000 hailipi toa 480,000 sasa mtu anakupigia ili tujadiliane kupokea napo ndugu upokei Dah basi nimejivuta mpaka 450 nipo njiani nakuja kuchukua respond kwenye number inaishia 27