mwangalizi
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 842
- 512
Mkuu upo vizuri na huna longolongo, hakika ndicho online business inachotaka. Printer za Epson A3+ za photo, zenye mitungi ya wino attached unazo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mawasiliano muhim mkuu
Sawa mkuu uwe na uhakika mana unajua sisi ni maduka yanayo tembea nikimaanisha muda mwingi tupo kwenye kuoeleka mizigo sehem nyingi kikubwa uwe na uhakika wamuda ili uwe katika ratiba mkuu samahan kwa maelekezo hayaNitakupigia nikiwa nakuja, nime save namba yako
Zipo used kutoka marekani kama unahitajiHauna au unaweza kuagiza SIMU za OPPO ?
Poa mkuuKiukweli upo njema sana.
Kuanzia Bidhaa, Bei, Maelezo, Mapatano na logist zako zipo vizuri sana.
Kweli hii ndio real online business.
Nimependa.
Kuna bidhaa nyingi sana, nimeziona hapo na nimezipenda, soon nitakucheck ili nijipatie.
Tunazo PS 2 na 3 za sonny mkuuGames kama PS zapatikana na bei yake pse
Watts 300, mziki wake unakuwaje?!![]()
Samsung ,FM radio, HDMI, USB, Bluetooth, watts 330
Price 350,000
Mkubwa aana mkuu unatoboa siling boardWatts 300, mziki wake unakuwaje?!
Mkuu Amani,Friza size yakati![]()
Price 520,000
Nimekuelewa mkuu nafaham sema kupitiwa mambo mengi hizo nilizo post ni za Umeme tu kwahiyo haziindolei uthamani japo kukamilisha maelezo inmpa uraisi mteja tafanya hivyo mkuuMkuu Amani,
Fridge na Freezer huwa zinasemwa size yake kwa ujazo.
Yaani kama , Friji size ya kati, Liter 80, au Liter 160 . .
Ukisoma vibandiko vya vifaa hivyo utaona wameandika Product specification details . . , wanaonyesha ujazo in Liters, umeme unaotumika, gas inayotumika , nk nk . .
Unisamehe kama ntakuwa nimekukwaza kwa maelekezo haya . .
Ndio nyumbani kwake sorry pitia post za nyumaProduct za Sony mnazo?kama vile radio or home theater
una oppo ipi...taja specs na bei if possibleZipo used kutoka marekani kama unahitaji