INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Mkuu upo vizuri na huna longolongo, hakika ndicho online business inachotaka. Printer za Epson A3+ za photo, zenye mitungi ya wino attached unazo?
 
Nitakupigia nikiwa nakuja, nime save namba yako
Sawa mkuu uwe na uhakika mana unajua sisi ni maduka yanayo tembea nikimaanisha muda mwingi tupo kwenye kuoeleka mizigo sehem nyingi kikubwa uwe na uhakika wamuda ili uwe katika ratiba mkuu samahan kwa maelekezo haya
 
ebcf4a04540466796d9b1459b905b65f.jpg

Inch 20 ni ya ac na DC yan umeme Wa kawaida na solar pia inatumia
HDMI
AV2
VGA
USB
Price 220,000
 
Kiukweli upo njema sana.
Kuanzia Bidhaa, Bei, Maelezo, Mapatano na logist zako zipo vizuri sana.
Kweli hii ndio real online business.
Nimependa.

Kuna bidhaa nyingi sana, nimeziona hapo na nimezipenda, soon nitakucheck ili nijipatie.
 
Poa mkuu
 
91b45c9a9a48a5a7dbc3fee588ca031f.jpg
Friza size yakati
Price 520,000
Mkuu Amani,

Fridge na Freezer huwa zinasemwa size yake kwa ujazo.

Yaani kama , Friji size ya kati, Liter 80, au Liter 160 . .
Ukisoma vibandiko vya vifaa hivyo utaona wameandika Product specification details . . , wanaonyesha ujazo in Liters, umeme unaotumika, gas inayotumika , nk nk . .

Unisamehe kama ntakuwa nimekukwaza kwa maelekezo haya . .
 
Nimekuelewa mkuu nafaham sema kupitiwa mambo mengi hizo nilizo post ni za Umeme tu kwahiyo haziindolei uthamani japo kukamilisha maelezo inmpa uraisi mteja tafanya hivyo mkuu
 
Back
Top Bottom