Emmanuel nemes
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 892
- 654
Za bei ya Mtanzania wa hali ya Kawaida.Mkuu nipe picha za Brenda na bei zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za bei ya Mtanzania wa hali ya Kawaida.Mkuu nipe picha za Brenda na bei zake.
Bei ya mtanzania kuna 95,000 na laki nanusuZa bei ya Mtanzania wa hali ya Kawaida.
niwekee picha ya hio water pump na sifa zake zote tafadhali420,000
Hy 95000 bei ya mtanzania
Zipo za king max na bison Nchi 3 zinauwezo wakuvuta maji umbali wa m100 nakusuply umbali unaizidi m300 ukilingana na urefu wa pipe yako tank linabeba litatano za petrolniwekee picha ya hio water pump na sifa zake zote tafadhali
nimetokea kukuamini sana
Zipo za king max na bison Nchi 3 zinauwezo wakuvuta maji umbali wa m100 nakusuply umbali unaizidi m300 ukilingana na urefu wa pipe yako tank linabeba litatano za petrol![]()
400,000tubei ikoje mkuu?
nchi 2 nitapata kwa bei gani?400,000tu
350,000nchi 2 nitapata kwa bei gani?
mkuu mimi niko mwanza.. mbona bei zinakuwa zinafanana? why nisipate nchi 3 kwa 380k?350,000
Mkuu Ongeza kumi utumiwe kesho uipatemkuu mimi niko mwanza.. mbona bei zinakuwa zinafanana? why nisipate nchi 3 kwa 380k?
natumiwa kwa condition gani? nilipe full au nikiipata ndio nalipa kwa mtu wenu?Mkuu Ongeza kumi utumiwe kesho uipate
Iko hivi sisi huwa tunatuma hatuna wakala popote kama utakuwa hutaamini unamtumia pesa jamaa yako alieko huku dar yy ndie atakuja ofisini anahakikisha mzigo ulio utaka ndio huu sisi tunakutumia ukiwa umetupa ditel zako za uhakika majina matatu na namba za simu unayo tumia sisi Tunaenda kwny ofisi za mabasi ya sehem husika tunakabidhi mzigo tunakupa namba za konda wa gari husika na kama hunajamaa huku unatutumia pesa sisi tunakutumia mzigo kwa maelekezo kama hayo ya mwanzo wewe ndio utachagua wepesi wakonatumiwa kwa condition gani? nilipe full au nikiipata ndio nalipa kwa mtu wenu?
asante sana, nimekuelewa.Iko hivi sisi huwa tunatuma hatuna wakala popote kama utakuwa hutaamini unamtumia pesa jamaa yako alieko huku dar yy ndie atakuja ofisini anahakikisha mzigo ulio utaka ndio huu sisi tunakutumia ukiwa umetupa ditel zako za uhakika majina matatu na namba za simu unayo tumia sisi Tunaenda kwny ofisi za mabasi ya sehem husika tunakabidhi mzigo tunakupa namba za konda wa gari husika na kama hunajamaa huku unatutumia pesa sisi tunakutumia mzigo kwa maelekezo kama hayo ya mwanzo wewe ndio utachagua wepesi wako
Kama utaharibika ikiwa ndani ya basi tunawajibika sisi ukipotea kabla Ya kukufikia kampuni ya basi husika ndio wanalipa ila kuhusu kuharibika sio rahisi kwkuwa tunafunga mzigo kwa umakini mkubwaasante sana, nimekuelewa.
lakini vipi kama mzigo ukifika ukiwa na damage zozote? na kama ukipotelea kwenye basi? usinifikie?
nani atakuwa responsible kwa usumbufu?
kumbuka kutoka dar mpaka mwanza si jambo jepesi.
Mfano huo mfuko mweusi ulikua na home theater ndogo hy nilio post ya Sonny kama uliiona ndani tunaweka mabox magum kwaajili ya kukinga mitikisiko yeyote itakayo tokea kumbuka na yenyew ndani ina vitu vinavyo kinga kuharibika kwahiyo haiwezi kupata kasoro yoyote ile na huwa tunatoa taadhari kwa wapakiaji kwahilo ondoa shaka hatujawahi kukutana nakesi kama hizo labda ianze kwako mkuu kikubwa tuombe gari lifike salamaMkuu nipe picha za Brenda na bei zake.
asante kwa majibu murua.Kama utaharibika ikiwa ndani ya basi tunawajibika sisi ukipotea kabla Ya kukufikia kampuni ya basi husika ndio wanalipa ila kuhusu kuharibika sio rahisi kwkuwa tunafunga mzigo kwa umakini mkubwa
Bei imekuimpress siyoMkuu nakuja kuchukua hii