INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Hy 95000 bei ya mtanzania
abdebbcf0a80a2139b00e58022d69eea.jpg
 
niwekee picha ya hio water pump na sifa zake zote tafadhali
nimetokea kukuamini sana
Zipo za king max na bison Nchi 3 zinauwezo wakuvuta maji umbali wa m100 nakusuply umbali unaizidi m300 ukilingana na urefu wa pipe yako tank linabeba litatano za petrol
55bbeb50c42a441f9bf59be579e451e5.jpg
 
natumiwa kwa condition gani? nilipe full au nikiipata ndio nalipa kwa mtu wenu?
Iko hivi sisi huwa tunatuma hatuna wakala popote kama utakuwa hutaamini unamtumia pesa jamaa yako alieko huku dar yy ndie atakuja ofisini anahakikisha mzigo ulio utaka ndio huu sisi tunakutumia ukiwa umetupa ditel zako za uhakika majina matatu na namba za simu unayo tumia sisi Tunaenda kwny ofisi za mabasi ya sehem husika tunakabidhi mzigo tunakupa namba za konda wa gari husika na kama hunajamaa huku unatutumia pesa sisi tunakutumia mzigo kwa maelekezo kama hayo ya mwanzo wewe ndio utachagua wepesi wako
 
asante sana, nimekuelewa.
lakini vipi kama mzigo ukifika ukiwa na damage zozote? na kama ukipotelea kwenye basi? usinifikie?
nani atakuwa responsible kwa usumbufu?
kumbuka kutoka dar mpaka mwanza si jambo jepesi.
 
8733beb121ec4f6e02fd2df2b0c58b90.jpg

Popcorn machine ndogo kwa matumizi ya nyumban
Price 250,000
 
asante sana, nimekuelewa.
lakini vipi kama mzigo ukifika ukiwa na damage zozote? na kama ukipotelea kwenye basi? usinifikie?
nani atakuwa responsible kwa usumbufu?
kumbuka kutoka dar mpaka mwanza si jambo jepesi.
Kama utaharibika ikiwa ndani ya basi tunawajibika sisi ukipotea kabla Ya kukufikia kampuni ya basi husika ndio wanalipa ila kuhusu kuharibika sio rahisi kwkuwa tunafunga mzigo kwa umakini mkubwa
 
Mkuu nipe picha za Brenda na bei zake.
Mfano huo mfuko mweusi ulikua na home theater ndogo hy nilio post ya Sonny kama uliiona ndani tunaweka mabox magum kwaajili ya kukinga mitikisiko yeyote itakayo tokea kumbuka na yenyew ndani ina vitu vinavyo kinga kuharibika kwahiyo haiwezi kupata kasoro yoyote ile na huwa tunatoa taadhari kwa wapakiaji kwahilo ondoa shaka hatujawahi kukutana nakesi kama hizo labda ianze kwako mkuu kikubwa tuombe gari lifike salama
 
Kama utaharibika ikiwa ndani ya basi tunawajibika sisi ukipotea kabla Ya kukufikia kampuni ya basi husika ndio wanalipa ila kuhusu kuharibika sio rahisi kwkuwa tunafunga mzigo kwa umakini mkubwa
asante kwa majibu murua.
bila shaka gharama za usafiri pia ni zenu
nitamtafuta ndugu yangu nione namna ya kuwafikia
 
Back
Top Bottom