sir mweli
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 495
- 573
Ntaftie kakabati kazuri ambacho ntaweka TV ya 43 na him thieta ya Sony spika 5, 4 ndefu, nipe na bei kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo spika za ht zikae ndani ya tv table auNtaftie kakabati kazuri ambacho ntaweka TV ya 43 na him thieta ya Sony spika 5, 4 ndefu, nipe na bei kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
No , nataka ile wofer na deki tu ndo zikae kwenye TV table, hizo spika zitakaa zenyewe tu
Bei gani?
Hela ngapi
Kuna offer ya movie na series ndani yake mkuu?????
Ukubwa gani?
Mkuu hujatoa jibu au ndio unaenda kuifanyia kazi[emoji28]
Sony which model ya mwaka gani rating za speaker power consumption nk
Ndogo mmeleta
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Jibu plzNo , nataka ile wofer na deki tu ndo zikae kwenye TV table, hizo spika zitakaa zenyewe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubarikiwe boss roho nyeupe sasaAhsante mkuu nimepata mizigo yangu mdahuu ndio gari limeingia nashukuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee napenda kuuliza nimenunua tv samsung 32 inches nimegundua haikizi matakwa yangu, kwa maana ya size ndogo nataka nibadilishe nipate angalau 43 inches. Je kunauwezakano wa kuweza kubadilisha kwa maana nilete hii niongeze pesa alafu nichukue kubwa natanguliza shukrani