INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

b176dba90453869f7163a68610823ba1.jpg
Seagate

Sent using Jamii Forums mobile app
Bei gani?
 
Ubarikiwe boss roho nyeupe sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee napenda kuuliza nimenunua tv samsung 32 inches nimegundua haikizi matakwa yangu, kwa maana ya size ndogo nataka nibadilishe nipate angalau 43 inches. Je kunauwezakano wa kuweza kubadilisha kwa maana nilete hii niongeze pesa alafu nichukue kubwa natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom