Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan


Napenda sana kuwapongeza ndugu zetu wa nimrpitia website yao Digxam.com nimegundua hawa watu wana future ya biashara mmeona mbali mnoo kwa kutufikiria kwa vitu vya mtumba original kutoka Japan naongea hivi kutokana na yaliyonikuta baada ya kununua generator jipya la mchina la 30 KVA yaani kilichotokea hata miez 3 halikufikisha ikaanza kazi ya kila siku kuita Mafundi mala kinu kimeungua nikanunua kingine mala engine mzunguko ndogo mpaka sasa nimechoka na nimeachana nalo kabisaa natamani kutaja aina lkn sioni sababu inabidi mjipange vizuri mtapata upinzani mkubwa sana kutokakwa wauza bidhaa feki msife moyo tuko nyuma yenu ila vitu vya mtumba kutoka Japan ni uhakika tena mjapan hiyo ni ndoa ya kanisani unakuta Generator limetumika masaa kiduchu nawapongezeni sana nawatia moyo msikatishwe tamaa na wauzaji wa vitu feki wanaturudisha nyuma kimaendeleo unawaza kitu kimoja kila siku badala kusonga mbele soko limejaa vitu feki vya kichina wizi mtupu
 
Hongereni sana kwa ubunifu wa kutuunganisha na Bidhaa za Japani moja kwa moja kikubwa zingatieni uaminifu ndiyo nguzo ya mafanikio katika biashara
Mkuu Asante sana kwa ushaur wako biashara yoyote nguzo yake kuu ni umaninifu na uwazi ndio mana kwenye website yetu kuna
1.Stream Tv
2.Tracking System
3.Kuna sehemu ya kuandika maoni
Yote ni kuongeza uwazi kwenye utendaji wetu wakazi nfano unawea kuona live mzigo wako ukipakiwa kwenye container likiwa Japan kupitia kwenye website yetu

Unaweza ku-track mzigo wako na kujua position ya mzigo wako Mzigo wako ukifika kabla ya kupokea mzigo wako akikisha una seal sehemu mbalimbali kwanfano Ukiagiza Engine ikifika utakuta seal kwenye Starter kwenye pump nabaadhi ya vifaa lengo kuzuia uchakachuaji kabla ya Mzigo nfikia mwenyewe
 
Yes mkuu hapo sahihi. Pia pokea order hapa hapa achana na habari za website. Kama kuna mashine nahitaji nakutumia pm unanijibu. Usicomplicate mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu bidhaa zinapatikana Japan mimi siko Japan itapendeza sana kufata utaratibu kwa usalama wapesa zako uwekaji wa record taarifa zote vitengo vyote wanategemea website kuanzia kunua mzigo kusafirisha kusambaza usikubali kufanya biashara nje ya website kuna kumbukumbu nyingi zinabaki kwajili ya usalama wa mizigo wako taarifa zinafutika baada ya mzigo ukipokelewa sisi kazi yetu kubwa ni kutoa mzigo bandari na kusambaza mizigo tu
 
Gemima20,
Pole sana Asante kwakututia moyo twendelee kumuamini Mungu ndio mtoa riziki nadhani ulipata bahati mbaya kuna bidhaa nyingi sana kutoka China Mzuri sana hata Japan kuna bidhaa nyingi zinatengenezwa China na kupelekwa Japan inawekena ulikutana na Generetor yenye makosa ya kiufundi toka kiwandani Pole sana Asante kwa maoni yako karibu sana.
 
Jinsonjohn,
Kuna watu wengi sana wameumizwa na Mchina kama mimi ngoja watakuja hapa kutoa ya moyoni.Mim Niko Cheka kigamboni nataka Generator la Denso nitawacheki next week mniwekee salio kwenye account yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…