Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

Kuna link umetumiwa kwenye email yako? website iko sawa kunakitu unakikosea kwamaelezo ingia kwenye blog. Ukisha maliza kujisajili Baada ya kujisajili utatumiwa User name na Password kwenye email yako.

Kubadili Password
1.Ingia kwenye My Account
2.Person Info
3.New password
4.Repeat password
 
View attachment 1284881
Tuwekeze kwenye Uvuvi hii ni boat ya uvuvi ya kisasa ndani mzuri sana kuna vifa vya kisasa vya uvuvi ndani iko bomba ya kijanja sana kuwa wakwanza kuimiliki
1.Ina vifaa vyakuta samaki na ktambua walipojificha
2.Kutambua aina ya Samaki
3.Wingi wa samaki
4.Nyavu a kisasa za kunasa Samaki
5.Speed
6.Fulu kiyoyozi
Bei yake M 10
Bei gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpendwa mteja wetu wa Digxam.com tunaomba sana sana maoni yako ni muhimu kwenye ukurasa wetu wa maoni na hapa JF pindi upokeapo mzigo, hii itatusaidia kurekebisha na kuimarisha miundo mbinu yetu Asante sana, karibu tukuhudumie!
Mm binafsi maoni yangu msitume menu zenye lugha ya Kijapan nilipokea likitabu kubwa zito kama kg 1 garama za kutuma menu zipunguzwe kwenye bei asante nimepata mzigo wangu bila usumbufu
 

Attachments

  • IMG_20191225_131208.jpg
    IMG_20191225_131208.jpg
    68.6 KB · Views: 12
  • IMG_20191225_131425.jpg
    IMG_20191225_131425.jpg
    110.9 KB · Views: 12
  • IMG_20191225_131217.jpg
    IMG_20191225_131217.jpg
    66.3 KB · Views: 12
View attachment 1284881
Tuwekeze kwenye Uvuvi hii ni boat ya uvuvi ya kisasa ndani mzuri sana kuna vifa vya kisasa vya uvuvi ndani iko bomba ya kijanja sana kuwa wakwanza kuimiliki
1.Ina vifaa vyakuta samaki na ktambua walipojificha
2.Kutambua aina ya Samaki
3.Wingi wa samaki
4.Nyavu a kisasa za kunasa Samaki
5.Speed
6.Fulu kiyoyozi
Bei yake M 10
Ushuru vp
 
Kuna mtu wangu nilimuonyesha bidhaa nilizozinunua kwenu akazipenda nikamtumia webise yenu anaulizia jinsi ya weka balance swali je Mimi nina balance kwenye acount yangu natumaje kwenda kwa rafiki yangu au tuje office mtusaidie
 

Attachments

  • IMG-20191217-WA0001.jpg
    IMG-20191217-WA0001.jpg
    35.4 KB · Views: 12
Na
View attachment 1289445

Plag Original za Denso mzuri na salama kwamatumiza ya Engine yako ukitumia plug feki utapata hasara utaingia sheli bila kikomo kwasabu uwezo wa plug feki kuchoma mafuta ni mdogo sana. akikisha unatumia Genuine parts kwenye Gari Pikipiki au Generator lako kuepuka hasara zisizokua za lazima
Nataka hizi plugs
 
Habari yako boss nmeshiriki kwenye mnada huko kwa website sasa nashindwa kuweka pesa
Na kama ipo bank utaniambia kama inawezekana kuhamisa
Ingia kwenye acount yako
1.My Account
2.Payments
3.Make Payment
4.Payment Amount (weka kiasi)
5.pay to user user name ya (unaye mlipa)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda wa mnada ukiisha bila mshindi kupatikana bidhaa inaweza kuendelea kuepo kwenye mnada na masaa yataendelea kutembea au unaweza kutoweka inategemea na muzaji alivyo set mnada wake.

Kama utaendelea kuwepo akipatikana mtu mwenye vigezo aka bid au washiriki moja wao akatimiza vigezo mnada utasima na kumtangaa mshindi . wote mlioshiriki mtajulishwa kwanjia ya barua pepe.
 
Back
Top Bottom