Laki mia saba!!! (Nb, milioni moja ni sawa na laki 10)Hiyo camera ndio bei yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laki mia saba!!! (Nb, milioni moja ni sawa na laki 10)Hiyo camera ndio bei yake
bei yake ngapi?Kipima joto cha kisasa kama unamili duka la madawa hospital kua wakwanza agiza kupita kwenye website yetu garama nafuu bidhaa bora kabisa zilizotengenezwa Japan
Sawa vipi galaxy s 7edge, au simu zipi naweza pata kwa bajet ya 250kMkuu iPhone 6plus hatuna siwezi kujua bei labda unipemuda nitakujibu kesho
Kuna item nataka niagize kisha ni post hapo niuze inawezekana?Nitakuapa majibu kesho nawacheki watu wa simu
Za kutumia mimi binafsi kama pcs 5 tu...Bei inategemea na wingi unataka kiasi gani
No kwenye site yenuU post hapa wapi JF au?
No kwenye site yenu
OkResale inawezeka lazima uwe na membership kuna faida nyingi kua na membership badala ya deposit ,Users wengi wana weka Auction Depots badala ya Membership.
Tofauti kati ya Membership na Deposit
Deposit ukisha nunua bidhaa deposit yako unaweza kuijumlisha nfano umeweka depot ya 1,000 kwenye account ukashinda mnada wa elfu 10,000 upaswa ku deposit 9,000 plus 1,000 yako ya DEPOSIT = 10,000
Membership nikinyume chake ukishinda mnada wa 10,000 una membership ya 1,000 utapaswa ku deposit 10,000 mzima 1000 inabaki kwenye Account yako.
faida za membership kwenye website yetu ninyingi sana nitataja chache
1.Resale lazima uwe na membership
2.Bonds lazima uwe na membership
Resale ukisha win auction ukalipia ghrama zote za auction plus membership kwenye Menu yako upatapa option ya ku edit bei nfano bidhaa umenunua elfu 10 utaogeza elfu 2,000 jumla ya bei 12,000 picha zitabaki zilezile za mwanzo utaweza ku post itema kweny action page users wataona na ku bid pesa yako utaingiziwa moja kwamoja kwenye account yako. Nilazima hiyo bidhaa iwe ndani ya Japan sio nje ya Japan
Naomba nipate majibu ya maswali haya tafadhaliResale inawezeka lazima uwe na membership kuna faida nyingi kua na membership badala ya deposit ,Users wengi wana weka Auction Depots badala ya Membership.
Tofauti kati ya Membership na Deposit
Deposit ukisha nunua bidhaa deposit yako unaweza kuijumlisha nfano umeweka depot ya 1,000 kwenye account ukashinda mnada wa elfu 10,000 upaswa ku deposit 9,000 plus 1,000 yako ya DEPOSIT = 10,000
Membership nikinyume chake ukishinda mnada wa 10,000 una membership ya 1,000 utapaswa ku deposit 10,000 mzima 1000 inabaki kwenye Account yako.
faida za membership kwenye website yetu ninyingi sana nitataja chache
1.Resale lazima uwe na membership
2.Bonds lazima uwe na membership
Resale ukisha win auction ukalipia ghrama zote za auction plus membership kwenye Menu yako upatapa option ya ku edit bei nfano bidhaa umenunua elfu 10 utaogeza elfu 2,000 jumla ya bei 12,000 picha zitabaki zilezile za mwanzo utaweza ku post itema kweny action page users wataona na ku bid pesa yako utaingiziwa moja kwamoja kwenye account yako. Nilazima hiyo bidhaa iwe ndani ya Japan sio nje ya Japan
1. Ukiwa na balance tuma request kwa admin atakuanganishaNaomba nipate majibu ya maswali haya tafadhali
1. Namna ya kujisajili ili uwe membership na sio deposit maana kwenye website sioni sehemu ya membership na ona kudeposit tu
2. Kwa mfano bidhaa bid price imewekwa 500000. Ukishinda mnada mzigo unasafirishwa kwa ile ile bei au kunagarama tena zitaongezeka za kusafirisha mzigo na ushuru.
3. Ofisi yenu ipo wap kwa dar kwa wale wanaotaka kuja kuwekea hela ofisini au kutumia address ya ofisini kwenu ili mzigo ukifika anachukulia hapo kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kumi tu?hadi kufika bongo mngetuwekea hesabu kamili nataka niwe naendea mbudyaView attachment 1284881
Tuwekeze kwenye Uvuvi hii ni boat ya uvuvi ya kisasa ndani mzuri sana kuna vifa vya kisasa vya uvuvi ndani iko bomba ya kijanja sana kuwa wakwanza kuimiliki
1.Ina vifaa vyakuta samaki na ktambua walipojificha
2.Kutambua aina ya Samaki
3.Wingi wa samaki
4.Nyavu a kisasa za kunasa Samaki
5.Speed
6.Fulu kiyoyozi
Bei yake M 10
Mkuu vya Samsung vipo?Vioo na housing za iPhone matole yote usipateshida na vioo vya iPhone tembelea www.digxam.com
Rafiki yangu anataka kioo cha iPhone 7 kama kipo mtafanya biasharaView attachment 1308070
LCD iPhone 6 Original mpya 80,000 Tsh
SijaonaKuna Grader pia la Mitsubishi kesho litakua kwenye website tembele website kila mala