Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
Kwaiyo Ina maana Kwasasa huna container hata moja?Kwa sasa bei zinashuka na Kupanda nimeona niwe natoa bei kutokana mahitaji ya Mteja Asante.
Kama bei zenu ni kwa $ basi weka kwa $ ieleweke.Kwa sasa bei zinashuka na Kupanda nimeona niwe natoa bei kutokana mahitaji ya Mteja Asante.
Kwaiyo Ina maana Kwasasa huna container hata moja?
Kwa ft20Kwaiyo Ina maana Kwasasa huna container hata moja?
Bei zipo mkuuMkuu ungeweka bei ingekuwa safi zaidi.
Hiyo bei mnaleta kondena mpaka nyumbani kimara?
Ahaa , nimeshaweka bei mkuuDaaah kwa Bei hii kiongozi utapata kweli wateja?
KAZI ni kipimo cha UTU
Ft20 grade A