INAUZWA Jipatie Excel Template ya kuchakata matokeo ya wanafunzi (O-level) kwa sh 35,000/=

Good morning all....naomba mwenye complete ya S7 anitafute(kioo cha juu & cha ndani)
 
Hongera sana kaka..kaz nzuri nitanunua hiyo Payroll pamoja na ya biashara..nitakutafuta March mwanzon
 
Kwa level ya beginner utatumia nguvu nyingi kuelewa kama utatumia njia ya kusoma vitabu. Kwa sasa tumia njia ya video (YouTube) au mtu akufundishe ana kwa ana mpaka pale utakapokuwa na basics za kutosha
Mi nataka kuwa expert wa Excel beginner skills ninazo nataka advanced stage .

Niambie nitafute kiasi nije unipige brash
 
Fanya kuitengeneza basi ya pharmacy ikiwa tayari naomba unitag basi mkuu
 
Mkuu habari
 
Kama ni kuhamisha tu, haina haja ya kutumia formula.

Select cells zako>>Right click >>Cut>>Select first cell unayotaka majina yako yaanzie>>Right click>>Paste
Au
Select cells zako >>Ctrl+X>>Select first cell unayotaka majina yako yaanzie>>Ctrl+V

Formula ya top ten ni ipi mkuu?

Yani top itokee sheet2 wakati matokeo nimeyaweka sheet1?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…