Karibu ndg, nimeshatengeneza School time table na imeshaanza kutumika katika shule mbali mbaliNaona hapo class timetable. Nadhani tengeneza yenye uwezo wa school timetable, inayo involve madarasa, vyumba , masomo ya madarasa tofaut na walimu wa masomo husika yan inakuwa overall timetable ya mikondo yote