- Thread starter
- #21
safi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safi sana
safi sana
Tafuta sehemu nzurnzuri upige picha nzuri. Hii itasaidia kutangaza bishara yako. Tekinolojia yako na ubunifu ni mzuri unaorahishisha maisha ya wengi.Mpaka picha ndio uamini?
Ndio ni mali yako lakini kwa vigezo na masharti vilivyo ndani ya mkatabaHii ikimaanisha ninanunua kwa hiyo bei na kuwa mali yangu?
Picha zipo nyingi sana nduguTafuta sehemu nzurnzuri upige picha nzuri. Hii itasaidia kutangaza bishara yako. Tekinolojia yako na ubunifu ni mzuri unaorahishisha maisha ya wengi.
Ongeza ubunifu wa kibiashara kuvutia wateja.
Vinginevyo hongera kwa kuja na wazo zuri km hilo la kubadili changamoto ya matumizi ya mkaa kwenda kuea gesi
Pamoja
Wewe utakua dalali.Hili ni zuri sana, haikulazimishi kulipia mtungi mzima kwa Sh 23000 au Sh 58000. Kwa Sh 1000 yako tuu (buku) unanunua sehemu ya gesi iliyo kwenye mtungi na kupikia. Achana na zile gesi ikiisha unatelekeza mtungi na kurudi kwenye mkaa au kulazimika kutibua bajeti yako uliyojiwekea.
Unalipia kwenye tigo pesa, airtel money au m pesa kama vile unavyolipia vitu vingine.
Kizuri zaidi unaweza kufuatilia matumizi yako kwa kutumia mita maalum yenye kadi janja. Ujanja sasa ni teknolojia, hii ni mkombozi wako.
Jiunge leo kwa Sh 40000 na upewe jiko la sahani mbili na mtungi wake sambamba na salio la gesi ya kuanzia la Sh 5000 bure.
Huduma hii ni kwa Dar es Salaam pekee na usafiri ni bure mpaka kwako.
Tupigie sasa +255 713 748 763
Ni kweli, baadhi ya maeneo ya mkoa wa Pwani imefika kama vile Bagamoy, Kibaha, Kwa Matheus na Mlandizi. Asante kwa kutuongezeaWewe utakua dalali.
Mbona hii huduma mpaka Pwani bagamoyo ipo walishanipa vipeperushi vyao na mtaani kwangu wanapita sana na pikipiki lao la bluu la kuchaji. Toa taarifa kamili usaidie na wenginw na uisaidie kampuni yako.
Asante kiongozi.Ni kweli, baadhi ya maeneo ya mkoa wa Pwani imefika kama vile Bagamoy, Kibaha, Kwa Matheus na Mlandizi. Asante kwa kutuongezea
asanteAsante kiongozi.
Kila la Kheri katika Utafutaji
Wapi upo mkuu na ni kampuni gani.Hili ni zuri sana, haikulazimishi kulipia mtungi mzima kwa Sh 23000 au Sh 58000. Kwa Sh 1000 yako tuu (buku) unanunua sehemu ya gesi iliyo kwenye mtungi na kupikia. Achana na zile gesi ikiisha unatelekeza mtungi na kurudi kwenye mkaa au kulazimika kutibua bajeti yako uliyojiwekea.
Unalipia kwenye tigo pesa, airtel money au m pesa kama vile unavyolipia vitu vingine.
Kizuri zaidi unaweza kufuatilia matumizi yako kwa kutumia mita maalum yenye kadi janja. Ujanja sasa ni teknolojia, hii ni mkombozi wako.
Jiunge leo kwa Sh 40000 na upewe jiko la sahani mbili na mtungi wake sambamba na salio la gesi ya kuanzia la Sh 5000 bure.
Huduma hii ni kwa Dar es Salaam pekee na usafiri ni bure mpaka kwako.
Tupigie sasa +255 713 748 763
Andron Mendes, Minaki boy, mtanzania mwenye asili ya mkoa wa Manyara, alianza na Kopagas, akishirikiana na Sabastian kutoka US.Hili ni zuri sana, haikulazimishi kulipia mtungi mzima kwa Sh 23000 au Sh 58000. Kwa Sh 1000 yako tuu (buku) unanunua sehemu ya gesi iliyo kwenye mtungi na kupikia. Achana na zile gesi ikiisha unatelekeza mtungi na kurudi kwenye mkaa au kulazimika kutibua bajeti yako uliyojiwekea.
Unalipia kwenye tigo pesa, airtel money au m pesa kama vile unavyolipia vitu vingine.
Kizuri zaidi unaweza kufuatilia matumizi yako kwa kutumia mita maalum yenye kadi janja. Ujanja sasa ni teknolojia, hii ni mkombozi wako.
Jiunge leo kwa Sh 40000 na upewe jiko la sahani mbili na mtungi wake sambamba na salio la gesi ya kuanzia la Sh 5000 bure.
Huduma hii ni kwa Dar es Salaam pekee na usafiri ni bure mpaka kwako.
Tupigie sasa +255 713 748 763
Habari, kampuni inaitwa M-Gas na mteja popote alipo Dsm analetewa huduma. Lakini kwa sasa tumesitisha huduma mpaka mwezi Januari 2023. KaribuWapi upo mkuu na ni kampuni gani.
PoaHabari, kampuni inaitwa M-Gas na mteja popote alipo Dsm analetewa huduma. Lakini kwa sasa tumesitisha huduma mpaka mwezi Januari 2023. Karibu
Vigezo na Masharti yepi?Ndio ni mali yako lakini kwa vigezo na masharti vilivyo ndani ya mkataba
Kweli kabisaYan katika kitu sitomshauli mtu kutumia hili jiko la et unalipia kidogo kidogo yan ni uhuni mtupu unajikuta samani yake ni sawa na kununua mitungi hiyo miwili naongea hivi nishatuma nikaonaga huu ni ujinga hakuna kusave hapa nikapiga chini nikafunga langu mpaka sasa natumia na kweli natumia bila stress kabisa