DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Hawa wajanja wajanja sana🤣🤣🤣🤣 sema jamaa wanatupiga sana.
Niliwasiliana na agent wa hivi ving'amuzi. Jamaa anasema Canal+ complete, yaani dishi na decoder ni Tsh 150,000/=
Ukija hapa sasa, jamaa anakwambia hana dishi zipo decoder tu.
One day nilipishana na jamaa pale Makumbusho Bus Stand amebeba dishi jipya la Canal+ mpaka nikajiuliza huyu jamaa kanunua wapi?
Nikatinga Kariakoo nimetafuta sana kila kona, hakuna.
Niliwasiliana na ajenti yupo Bunjumbura anasema gharama ya kifurushi ni 40k kama sio 43kHawa wajanja wajanja sana
Iko Fair kuliko Dstv nayotumia AiseeNiliwasiliana na ajenti yupo Bunjumbura anasema gharama ya kifurushi ni 40k kama sio 43k
Ni channel zooote
Nasikia Canal+ walipigwa marufuku hapa Tanzania ndio maana unaona mawakala wanauza decoder pekee, ukiuliza kuhusu masuala ya dishi wanakwambia tumia hata la Azamtv, StarTimes, Dstv, Zuku au Continental😁😁😁Iko Fair kuliko Dstv nayotumia Aisee
Wameshapigwa marufuku na ndo maana hata decoder zao wengine wanatumia kwa matumizi mengine 😅😅Nasikia Canal+ walipigwa marufuku hapa Tanzania ndio maana unaona mawakala wanauza decoder pekee, ukiuliza kuhusu masuala ya dishi wanakwambia tumia hata la Azamtv, StarTimes, Dstv, Zuku au Continental😁😁😁
lugha inayotumika nasikia ndo huwa ni changamotooo...!!Wameshapigwa marufuku na ndo maana hata decoder zao wengine wanatumia kwa matumizi mengine 😅😅
Hawaruhusiwi hawa Na TCRA
Kinyarwanda au 😅😅lugha inayotumika nasikia ndo huwa ni changamotooo...!!
kifaransaKinyarwanda au 😅😅
Dah bora hta siitumii aisse 😅😅😅😅kifaransa
Lugha sio ishu mzee, muhimu ni unafuukifaransa
Channels zote kivipi,yaani vifurushi vyote ni 43k? Acha uongo Mkuu,channel zote za mpira kifurushi cha Evasion ndio 43k,premium ni 100k+ ambapo unapata package yote mpaka za pilau live from France.Niliwasiliana na ajenti yupo Bunjumbura anasema gharama ya kifurushi ni 40k kama sio 43k
Ni channel zooote
Duh! Hadi Pilau, tcra wakikudaka nacho si inakuwa noma hiyo.Channels zote kivipi,yaani vifurushi vyote ni 43k? Acha uongo Mkuu,channel zote za mpira kifurushi cha Evasion ndio 43k,premium ni 100k+ ambapo unapata package yote mpaka za pilau live from France.
Hata Dstv wana pilau pia,sema hili la canal ndio noma live bila chenga sio recorded Ila sharti lazima hizi channels uweke parental code.Duh! Hadi Pilau, tcra wakikudaka nacho si inakuwa noma hiyo.
mzabzabHata Dstv wana pilau pia,sema hili la canal ndio noma live bila chenga sio recorded Ila sharti lazima hizi channels uweke parental code.
Hapo ndio shida ...Kikiisha inabidi nikutafute tena?
Nasikia Canal+ walipigwa marufuku hapa Tanzania ndio maana unaona mawakala wanauza decoder pekee, ukiuliza kuhusu masuala ya dishi wanakwambia tumia hata la Azamtv, StarTimes, Dstv, Zuku au Continental[emoji16][emoji16][emoji16]
Tatizo malipo sasaUnatumia na dish lolote la azam, dstv, star times nilishakuwa nayo sana na dishi la startime nikauza sikuwa na muda wa kuangalia mpira.