Asante mkuu.karibu mzee
Tatu kutoka mwishoProcessor specs zipo boss. Katik kila model ya picture kuna taarifa zote muhimu za hiyo laptop. Ni model ipi labda ulikuwa unahitaji nikufafanulie vizuri zaidi
Hujaweka CPU bado! Ni GHz ngapi?kama ni hiyo, Hiyo ni LENOVO L460
SIFA :
Core i5 - 6th Generation.
SSD Storage 256 GB.
8 GB RAM.
14 inch Display.
Bei 529,000/=.
Karibu tukuhudumie. Bei inapoa, Discount ipo.
Kwa zote hizo 3 za mwisho?oooh, nimekusoma speed ni 2400 MHz
Bei nzuri mkuu ,nipo Moro nikija dar next week nakutafuta hapo machinga.....Nafanya biashara sana na Abraham,Isihaka na Dunia Nzima.Kwa 512 GB tunazo za 129,000 na 109,000. Inategemeana na aina. Waweza nitumia model ya aina ya SSD unayohitaji
View attachment 2448838
View attachment 2448839
View attachment 2448840
View attachment 2448841
View attachment 2448842
View attachment 2448843
View attachment 2448844
Bei nzuri mkuu ,nipo Moro nikija dar next week nakutafuta hapo machinga.....Nafanya biashara sana na Abraham,Isihaka na Dunia Nzima.
Lenovo thinkpad x250 inaenda kwa bei gani?Habari mkuu, samahani kwa kuchelewa kukupatia jibu. Ila hizo lenovo zote 3 za mwisho katika bandiko zina clock speed ya 2400 MHz.
View attachment 2449632
View attachment 2449633
Karibu ofisini tukuhudumie.
View attachment 2449637
Nitajuaje hii laptop ni refurbished na hii siyo refurbished? Au mnatumia neno refurbished kulaghai watu
Habari kiongozi, hiyo model kwa sasa hatuna. kwa sasa tunazo model nilizopost katika post ya kwanza. Tafadhani nikuombe, chagua miongon mwa hizo aina kisha uje tukuhudumie. Bei zetu ni nzuri na bidhaa zetu ni imara.Lenovo thinkpad x250 inaenda kwa bei gani?