Computer4Sale Jipatie laptop yenye SSD storage, Core i5, RAM 8GB kuanzia 369,000 tu

Computer4Sale Jipatie laptop yenye SSD storage, Core i5, RAM 8GB kuanzia 369,000 tu

Complex

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
4,119
Reaction score
4,779
Karibu tukuhudumie. Laptop zetu zote zina SSD storage, 8GB RAM. Karibu tukuhudumie. Tunapatikana Machinga complex floor ya pili. Tupigie ama tutumie message whatsapp kupitia namba zetu 0753555055 ama 0714894798.

Instagram kwa picha zaidi ozonetechnologiestz

Laptop ni refubrished, lakini zetu zipo katika hali ya ubora mkubwa na usafi pasipo mikwaruzo.

Nimeambatanisha vipeperushi vyenye aina husika ya laptop vikiwa na bei, sifa na aina ya laptop husika.

Karibu tukuhudumie.

6470B.jpeg
8470P.jpeg
820 G3.jpeg
830 G5.jpeg
840 G3.jpeg
840 G4.jpeg
840 G5.jpeg
E5470.jpeg
E7280.jpeg
E7480.jpeg
L450.jpeg
L460.jpeg
T460.jpeg
Thinkpad X1.jpeg
 
Bei nzuri mkuu ,nipo Moro nikija dar next week nakutafuta hapo machinga.....Nafanya biashara sana na Abraham,Isihaka na Dunia Nzima.

Yes mkuu, bei zetu ni nzuri mnoo. Na bidhaa zetu ni bora sana. Hutojuta kufanya biashara na sisi. Karibu tukuhudumie.
 
Nitajuaje hii laptop ni refurbished na hii siyo refurbished? Au mnatumia neno refurbished kulaghai watu

Habari mkuu, na shukran kwa swali lako zuri. Tuanzie hapa ili twende sawa, Refubrished laptop ni nini .?

"A refurbished item is a pre-owned product that's been evaluated, cleaned, repaired, upgraded (in some cases), and then resold"

Bidhaa zetu zote tunaiagiza kutoka China, Marekani na Dubai. Huko ndipo zinapofanyiwa matengenezo na marekebisho yote ya kabla ya kutumwa kuja kwetu. Hivyo nikuhakikishie tuu, Kwetu hakuna ulaghai wowote ule. Picha zote unazoona ninapost nimepiga katika bidhaa zetu na si za kudownload toka katika mitandao, na ndiyo maana unaona katika laptop zetu tulizonazo sasa kuna laptop zimekuwa upgraded na kuwekwa SSD wakati kiasili hazikutengenezwa toka kiwandani na SSD. Pia zina RAM 8 GB wakati hazikutengenezwa na RAM 8 GB. Haya yote yamefanyika huko tulipoutoa mzigo na si hapa nchini. Tumefanya haya yote kuhakikisha mteja anapata bidhaa bora yenye thamani sawa na pesa anayolipa.

Nikuhakikishie tuu, Karibu ufanye biashara nasi, Hutojuta kwani bei zetu ni nafuu chini ya bei za soko, bidhaa zetu ni bora na pia kwetu uaminifu ni mkubwa sana hata kama upo mkoani, mzigo wako tutakutumia kwa uaminifu mkubwa sana.

Kwa sasa tuna Vioo vya laptop, SSD aina zote, RAM za laptop

mkuu karibu tukuhudumie.
 
Lenovo thinkpad x250 inaenda kwa bei gani?
Habari kiongozi, hiyo model kwa sasa hatuna. kwa sasa tunazo model nilizopost katika post ya kwanza. Tafadhani nikuombe, chagua miongon mwa hizo aina kisha uje tukuhudumie. Bei zetu ni nzuri na bidhaa zetu ni imara.

karibu tukuhudumie.
 
Una betri ya Asus Eee PC seashell series? Mini laptop
Hapana kiongozi, Kwa sasa hatuna Batteries za laptop. Kwa sasa tuna SSD, Vioo vya laptop, RAM na na laptop.
 
Back
Top Bottom