Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

SUZUKI SWIFT
MODEL 2003
MIL 4.7
LOCATION DSM SALASALA
CALL
0718295182
0765505909
BANGOJEUPE
34e3af9315b9f96d1d3d241c39484df4.jpg
 
Nauza Alteza
Mwaka 2000
4 Cylinder
Mil 7.5
Km 145576
LOCATION DSM MAJOE
CALL
0718295182
0765505909
BANGOJEUPE
d77f6b44783cd58436e6965674a3eba1.jpg
 
NAUZA MARK X KALI SANA HII
Year:2005
CC: 2490
Fuel: Petrol
Milage : 157,800
PRICE:MIL 13 TZS
LOCATION DSM MLIMANI CITY
CALL
0718295182
0765505909
af15ce9bc194e4dd48125727dd9121dc.jpg
b297da7e4ac0cb24ee282aaae10da8df.jpg

BANGOJEUPE
Madalali tamaa inawaponza na Mnasababisha bidhaa za Watu zisiuzike,mwenzio kashalitangaza hili jukwaa hili hili zaidi ya Wiki sasa kwa 10milion,ww umeongea hapo 3.
 
Nauza Alphard G 2004,
Cc: 2360
Millage: 215,000
Fuel: Petrol
Location : Dar es salaam/Ilala
Price: 13m
0623 509362


fede88405f73107ec13539a30497d9aa.jpg
850de4d252492c60d901bda1c38cf056.jpg
619c654892ca860fb25842f84bed4302.jpg
 
Ntafutie mteja Nna Toyota wish #DG,Milage 63000,rangi ya silver,gari kali sana,iliingia nchini mwaka Jana Mwezi wa 6,
Bei yake ni 10mln.....ukipata mteja ncheki kwenye # yangu bango

Ova
Tuma picha 0718295182
 
Suzuki Swift 2008 model Automatic ipo Dar..KM 162,000 5.5m

Wasiliana na 0789221944

a2cff120cfaffc089e4d12ff0a363e95.jpg
 
Madalali tamaa inawaponza na Mnasababisha bidhaa za Watu zisiuzike,mwenzio kashalitangaza hili jukwaa hili hili zaidi ya Wiki sasa kwa 10milion,ww umeongea hapo 3.
Hiyo gari nilikabidhiwa na aliyejitambulisha kama mmiliki na aliponikabidhi hakunipa kwa hiyo bei unayosema wewe , hata hivyo mimi ni mfanyabiashara hizo ni techniques za biashara, bila tamaa huwezi pata kitu kwenye hizi biashara lakini pia tambua mwisho wa siku biashara ni kati ya mwenye gari na mnunuzi !
Karibu chief
 
Back
Top Bottom