KWANINI UNIKABIDHI GARI LAKO BANGO JEUPE
Sababu ya kwanza ni kua nina uzoefu na hii kazi, hivyo najua platform nyingine nyingi zitakazowezesha upatikanaji wa mteja kwa haraka,
Sitegemei Jamiiforum peke yake nina access ya mitandao na site nyingine nyingi , na mda mwingi najinadi hata kulipia matangazo yangu ili kuwafikia wateja wengi
ukinikabidhi gari lako nikuuzie Sitaongeza Bei bali utanilipa kidogo kulingana na maelewano kati yako na mnunuzi, kikubwa gari ipate mteja
Nina mawakala wangu ndani ya Dar na mikoa mingine ambao nao wana njia zao za kuwafikia wateja zaidi
Mwisho mteja akinunua gari kwangu nitampa ushirikiano na uwazi endapo gari lina tatizo la kiufundi na mteja utakua na uhakika wa usalama wa gari utakalonunua kwangu
Nitumie sasa gari lako nami Nitapigana lipate mteja kwa muda muafaka
TUMA WATSAP au nipigie
0718295182
0765505909