Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

INAUZWA TOYOTA LANDCRUISER VX V8
PLATE NAMBA T691 AYE
Mwaka 2000
Engine UZJ100
PETROL
AUTOMATIC
Kilometers 166,173
BEI MILLION 40 TZS
NEGOTIABLE
LOCATION DARES SALAAM TANZANIA
CALL
0718295182 WATSAP
0765505909
IMG-20180721-WA0013.jpg
IMG-20180721-WA0016.jpg
IMG-20180721-WA0017.jpg
IMG-20180721-WA0015.jpg
 
Bei zangu ni za mmiliki sio za kiudalali ninachofanya ni kukufikishia gari maelewano ni ww na mmiliki husika
Kwa Update zaidi Napatikana pia
Instagram@dalalibango_magari
 
Ndugu hii gari ya kazi za barabara inahitaji service ndogo inauzwa na kampuni ukija kukagua ukapenda
mtaongea na mwenyewe ukampa ofa yako unaweza nunua kwa bei ndogo sana nasema hivyo sababu kuna watu walikuja wakajieleza wamechukua magari kwa bei ya chini tofauti na iliyotangazwa
Karibuni kwa maongezi gari ipo daressalaam temeke
List nyingine inakuja kuna magari ya aina tofautitofauti

hii kwa sasa yeye katangaza kwa mil 90 TZS
IMG-20180722-WA0016.jpg
 

Attachments

  • IMG-20180722-WA0016.jpg
    IMG-20180722-WA0016.jpg
    85.1 KB · Views: 69
Hii katangaza kwa mil 115 TZS msisite kabisa ndugu zangu boss anazungumzika ukija hutaamini hii gari anaweza kukuuzia kwa bei ya chini ni kujieleza kwako tu
, kuna magari tofautitofauti zaidi ya hii ilikua ni kwa kampuni
IMG-20180722-WA0017.jpg
 
NDUGU ZANGU KUNA MTEJA KANITUMA ANAHITAJI GARI LINALOUZWA
LANDCRUISER PRADO TX
DIESEL
AUTOMATIC
INJINI NDOGO

CALL/WATSAP
0718295182
0765505909
 
NDUGU ZANGU KUNA MTEJA KANITUMA ANAHITAJI GARI LINALOUZWA
TOYOTA KLUGER
INJINI NDOGO

CALL/WATSAP
0718295182
0765505909
 
Imetembea kilomita 262665, ni Toyota Land Cruiser GX Station Wagon, manual, CC 4164, la mwaka 2006. Bei 40mil. Piga simu 0782183441
IMG-20180721-WA0025.jpg
IMG-20180721-WA0026.jpg
IMG-20180721-WA0027.jpg
IMG-20180721-WA0028.jpg
IMG-20180721-WA0029.jpg
IMG-20180721-WA0030.jpg
IMG-20180721-WA0032.jpg
IMG-20180721-WA0019.jpg
IMG-20180721-WA0020.jpg
IMG-20180721-WA0021.jpg
IMG-20180721-WA0023.jpg
IMG-20180721-WA0024.jpg
IMG-20180721-WA0016.jpg
IMG-20180721-WA0017.jpg
 
KWANINI UNIKABIDHI GARI LAKO BANGO JEUPE
Sababu ya kwanza ni kua nina uzoefu na hii kazi, hivyo najua platform nyingine nyingi zitakazowezesha upatikanaji wa mteja kwa haraka,
Sitegemei Jamiiforum peke yake nina access ya mitandao na site nyingine nyingi , na mda mwingi najinadi hata kulipia matangazo yangu ili kuwafikia wateja wengi

ukinikabidhi gari lako nikuuzie Sitaongeza Bei bali utanilipa kidogo kulingana na maelewano kati yako na mnunuzi, kikubwa gari ipate mteja

Nina mawakala wangu ndani ya Dar na mikoa mingine ambao nao wana njia zao za kuwafikia wateja zaidi

Mwisho mteja akinunua gari kwangu nitampa ushirikiano na uwazi endapo gari lina tatizo la kiufundi na mteja utakua na uhakika wa usalama wa gari utakalonunua kwangu

Nitumie sasa gari lako nami Nitapigana lipate mteja kwa muda muafaka

TUMA WATSAP au nipigie
0718295182
0765505909
 
Hiyo TOYOTA LANDCRUISER TX (BWB) inahitajika pesa ya haraka
BEI MILION 10
Engine 1 KZ
CC 2700
DIESEL
KM 150,000
CALL
0718295182 WATSAP
0765505909
IMG-20180723-WA0043.jpg
IMG-20180723-WA0040.jpg
IMG-20180723-WA0042.jpg
IMG-20180723-WA0041.jpg
IMG-20180723-WA0044.jpg
 
Ndugu kuna mdau yumo humu kanikabidhi GX ya 6 cylinder ila bei ndo hivyo kasema mwisho Mil 3.5
Msijesema mbona Bei kubwa, hata mimi nilimuuliza ila nikaona nisipoteze biashara ya mtu

Cresta GX 100
Model: 1999
Transmission:Automatic
KM:~163,000
AC:HAIFANYI KAZI
SERVICE ILIYOFANYIWA: KUBADILISHA TYRE ZOTE NA KUPAKA RANGI TU..
IMG-20180723-WA0096.jpg
IMG-20180723-WA0097.jpg
IMG-20180723-WA0099.jpg
IMG-20180723-WA0098.jpg
IMG-20180723-WA0077.jpg
 
Back
Top Bottom