- Mwinyi alikuwa ni kiongozi asiye na uwezo wa kuongoza lakini alikuwa na busara sana, sasa angebishana nini na Mwalimu wakati tayari alikuwa amevurunda? Ni kama leo Mkapa ataandika nini kuhusu urais wa Kikwete, wakati wote ni sawa tu!
- Mwinyi aliwahi kusema neno moja tu serious tena alimtumia Chokalla, aliyekwua press man wake, na ninakumbuka sana ile siku wakitokea Msumbiji, alsiema hivi yeye na Mwalimu wanaweza kupimwa uongozi wao kwa kuhesabu ni mara ngapi Mwinyi ametaka kupinduliwa na ni mara ngapi Mwalimu aitaka kupnduliwa. baada ya pale alienda Mwanza na kusema yeye Mwinyi ni kichuguu na Mwalimu ni mlima, aliyemtoa Mwinyi kwenye ualimu na kumpa Urais, sasa hawezi kubishana naye, alimtaka Mama Sitti wajiangalie labda Mwalimu anasema ukweli kuhusu wao.
- Kukikubali kitabu au kutokukikubali kitabu sio ishu, the ishu ni kama kitabu kina any solutions ya matatizo yetu ya uongozi mbovu Tanzania, ambayo hayakuanza jana wala leo, huwezi kupanda mahindi ukavuna mihogo, tunachovuna sasa na uongozi mbovu ni matunda halisi ya Mwalimu, ingawa yeye alikuwa better than hawa maviongozi mengi tuliyonayo magoi goi. Binafsi ninge-support hiki kitabu kama kingekuwa kimeweza kutusaidia Tanzania angalau kidogo kujinasua na matatizo yetu, lakini akaingia Mkapa in 10 years, ana majumba ya ajabu, mpaka benki haya ndiyo yanamfanya Mwalimu awe ni bin-adam wa kawaida kama sisi wengine kwamba hakujua matatizo yetu na wala hakuwa na solution.
Respect.
FMEs!