Jipatie Nakala yako: Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania by Nyerere

Je, kinachotakiwa ni Mwinyi kuandika kitabu au kauli na matendo yake baada ya kitabu kutoka. Ninachokumbuka ni kwamba kitabu kilipotoka Nyerere alimpelekea moja kwa moja kabla Nyerere hajaongea na waandishi wa habari. Uzinduzi wa kitabu ulifanyika jioni Msasani wakati asubuhi Nyerere alishamkabidhi Mwinyi kitabu hiki.

Sababu ya Nyerere kumkabidhi kwanza Mwinyi ni kwamba hakutaka Rais Mwinyi ajue kupitia magazetini kwamba Mwalimu amezindua kitabu japo naamini serikali nzima ilijua mwenendo mzima wa kitabu tangu kinatungwa.

Nirudi kwenye point kwamba kwa nini Mwinyi asingeweza kuandika kitabu. Siku mbili baada ya kuzinduliwa kitabu hiki Mwinyi kwa kauli yake mwenyewe alisema "Ninashukuru Tanzania tuna Rais mstaafu anayeshauri kwa njia ya vikao na kwa njia ya vitabu".

Kwa mana hiyo alikubaliana na kilichomo kwenye kitabu cha Nyerere. Na si kukubaliana tu na kushukuru kama alivyotamka mwenyewe.

Tofauti na Jumbe ambaye yeye hakutoa kauli yoyote tangu kutamkwa kuchafuka hali ya hewa Zanzibar hadi na yeye alipotoa kitabu chake cha the Patnership.

- Mwinyi alikuwa ni kiongozi asiye na uwezo wa kuongoza lakini alikuwa na busara sana, sasa angebishana nini na Mwalimu wakati tayari alikuwa amevurunda? Ni kama leo Mkapa ataandika nini kuhusu urais wa Kikwete, wakati wote ni sawa tu!

- Mwinyi aliwahi kusema neno moja tu serious tena alimtumia Chokalla, aliyekwua press man wake, na ninakumbuka sana ile siku wakitokea Msumbiji, alsiema hivi yeye na Mwalimu wanaweza kupimwa uongozi wao kwa kuhesabu ni mara ngapi Mwinyi ametaka kupinduliwa na ni mara ngapi Mwalimu aitaka kupnduliwa. baada ya pale alienda Mwanza na kusema yeye Mwinyi ni kichuguu na Mwalimu ni mlima, aliyemtoa Mwinyi kwenye ualimu na kumpa Urais, sasa hawezi kubishana naye, alimtaka Mama Sitti wajiangalie labda Mwalimu anasema ukweli kuhusu wao.

- Kukikubali kitabu au kutokukikubali kitabu sio ishu, the ishu ni kama kitabu kina any solutions ya matatizo yetu ya uongozi mbovu Tanzania, ambayo hayakuanza jana wala leo, huwezi kupanda mahindi ukavuna mihogo, tunachovuna sasa na uongozi mbovu ni matunda halisi ya Mwalimu, ingawa yeye alikuwa better than hawa maviongozi mengi tuliyonayo magoi goi. Binafsi ninge-support hiki kitabu kama kingekuwa kimeweza kutusaidia Tanzania angalau kidogo kujinasua na matatizo yetu, lakini akaingia Mkapa in 10 years, ana majumba ya ajabu, mpaka benki haya ndiyo yanamfanya Mwalimu awe ni bin-adam wa kawaida kama sisi wengine kwamba hakujua matatizo yetu na wala hakuwa na solution.

Respect.

FMEs!
 
Wakuu,

Kabla ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu akitokea ubalozini Uingereza, Jumanne alikuwa Mbunge wa Mtera anaeishi London, sio? Itakuaje?
 
- Mkuu Jasusi, wewe najua kwamba una authority sana na hizi ishus za Mwalimu, lakini pia najua as a fact kwamba ni mmoja wa wapenzi wakubwa sana wa Mwalimu, sasa hili silijui kwa hiyo siwezi kulikana, lakini ninajua for a fact kwamba Warioba, Apiyo, na kuendelea kwa Butiku ofisi ya Rais under Mwinyi was never Mwinyi's choices, alilazimishwa na nani sujui.

- Ahsante kwa hizi info.

Respect.

FMEs!
FMES,
Butiku hakutaka kubaki Ikulu. Mwinyi alimwomba Mwalimu Butiku na Bi Wicken wabaki naye wamsaidie hasa katika ile miaka ya kwanza ya Ikulu. Bi Wicken alikataa akasema yeye utumishi wake ulikuwa kwa Mwalimu. Ikabidi Butiku akubali kubaki baada ya Mama Maria kusema kuwa Mwinyi asione kuwa sote tumemkimbia.Butiku alikaa na Mwinyi kwa miaka 2-3 hivi lakini baadaye Mwinyi akaweka Mzanzibari katika nafasi hiyo hiyo wakiwepo Private Secretary wawili.
Mwalimu alipoona hivyo akaomba Butiku apelekwe kuwa mkuu wa mkoa Mara ili amsaidie shughuli zake pale Musoma.
 
- Mwinyi alikuwa ni kiongozi asiye na uwezo wa kuongoza lakini alikuwa na busara sana, sasa angebishana nini na Mwalimu wakati tayari alikuwa amevurunda? Ni kama leo Mkapa ataandika nini kuhusu urais wa Kikwete, wakati wote ni sawa tu!

- Mwinyi aliwahi kusema neno moja tu serious tena alimtumia Chokalla, aliyekwua press man wake, na ninakumbuka sana ile siku wakitokea Msumbiji, alsiema hivi yeye na Mwalimu wanaweza kupimwa uongozi wao kwa kuhesabu ni mara ngapi Mwinyi ametaka kupinduliwa na ni mara ngapi Mwalimu aitaka kupnduliwa. baada ya pale alienda Mwanza na kusema yeye Mwinyi ni kichuguu na Mwalimu ni mlima, aliyemtoa Mwinyi kwenye ualimu na kumpa Urais, sasa hawezi kubishana naye, alimtaka Mama Sitti wajiangalie labda Mwalimu anasema ukweli kuhusu wao.

- Kukikubali kitabu au kutokukikubali kitabu sio ishu, the ishu ni kama kitabu kina any solutions ya matatizo yetu ya uongozi mbovu Tanzania, ambayo hayakuanza jana wala leo, huwezi kupanda mahindi ukavuna mihogo, tunachovuna sasa na uongozi mbovu ni matunda halisi ya Mwalimu, ingawa yeye alikuwa better than hawa maviongozi mengi tuliyonayo magoi goi. Binafsi ninge-support hiki kitabu kama kingekuwa kimeweza kutusaidia Tanzania angalau kidogo kujinasua na matatizo yetu, lakini akaingia Mkapa in 10 years, ana majumba ya ajabu, mpaka benki haya ndiyo yanamfanya Mwalimu awe ni bin-adam wa kawaida kama sisi wengine kwamba hakujua matatizo yetu na wala hakuwa na solution.

Respect.

FMEs!

Mwalimu alikuwa mtu wa kusoma na hivyo alijua kwenda na wakati. Hivyo angekuwepo wakati huu asingeshindwa kuona ubovu wa uongozi uliopo na asingeshindwa kutoa maoni ya utatuzi iwe kwa hotuba au kwa kuandika kitabu kingine.
 
FMES,
Butiku hakutaka kubaki Ikulu. Mwinyi alimwomba Mwalimu Butiku na Bi Wicken wabaki naye wamsaidie hasa katika ile miaka ya kwanza ya Ikulu. Bi Wicken alikataa akasema yeye utumishi wake ulikuwa kwa Mwalimu. Ikabidi Butiku akubali kubaki baada ya Mama Maria kusema kuwa Mwinyi asione kuwa sote tumemkimbia.Butiku alikaa na Mwinyi kwa miaka 2-3 hivi lakini baadaye Mwinyi akaweka Mzanzibari katika nafasi hiyo hiyo wakiwepo Private Secretary wawili.
Mwalimu alipoona hivyo akaomba Butiku apelekwe kuwa mkuu wa mkoa Mara ili amsaidie shughuli zake pale Musoma.

Mkuu Jasusi, heshima mbele. Mwalimu alikuwa mtu aliyejali sana utaratibu na hasa katika utendaji. Baada ya kung'atuka alijitahidi kwa uwezo wake kumpa Mwinyi breathing space, yaani kutomwingilia katika utendaji. Pamoja na msimamo huo, hii haikumwondolea haki kama Mtanzania kutoa maoni yake kwa maswala ya kitaifa kama azimio la Zanzibar. Alijitahidi kukaa kando kwa miaka ya mwanzoni lakini siku zilivyoendelea na mambo ya ajabu ajabu kufumka alijikuta hana jinsi na kukaa kimya alijua kungemsuta. Ni Mwinyi mwenyewe aliyeomba ushauri kwa Mwalimu mara kwa mara hasa pale ambapo alikuta anakwama. Hivyo hivyo na kwa Mkapa, Mwalimu hakuingilia hadi pale alipoanza kutoridhishwa na rasilimali za taifa zilipoanza kutapanywa ovyo. Njia aliyotumia sana ni kuwatonya kwanza na kama hilo halikufaulu aliwaita waandishi wa habari.
 
FMES,
Butiku hakutaka kubaki Ikulu. Mwinyi alimwomba Mwalimu Butiku na Bi Wicken wabaki naye wamsaidie hasa katika ile miaka ya kwanza ya Ikulu. Bi Wicken alikataa akasema yeye utumishi wake ulikuwa kwa Mwalimu. Ikabidi Butiku akubali kubaki baada ya Mama Maria kusema kuwa Mwinyi asione kuwa sote tumemkimbia.Butiku alikaa na Mwinyi kwa miaka 2-3 hivi lakini baadaye Mwinyi akaweka Mzanzibari katika nafasi hiyo hiyo wakiwepo Private Secretary wawili.
Mwalimu alipoona hivyo akaomba Butiku apelekwe kuwa mkuu wa mkoa Mara ili amsaidie shughuli zake pale Musoma.

- Mkuu Jasusi, with all due respect, kama nilivyosema huko nyuma wewe ninakuaminia sana, now naomba kuuliza Obama kumuomba Karl Rove abaki amsaidie? Ungesema alimuomba Apiyo nisingepata wasi wasi kwamba ni kweli, lakini Rais mpya amuombe personal assistant wa anayeondoka, on a serious note unajua hii inaweza kwenda kwenye Guiness Record book kwa sababu haijawahi kutokea duniani, labda sisi Tanzania ndio tunakwua wa kwanza, kwa sababu Mwinyi alipokuwa Rais wa Zanzibar si alikuwa na msaidizi wake wa binafsi na alikuwa enough experience na Urais, I mean haijakaa sawa hii! Tumeona viongozi wadogo wakihama na wasaidizi wao, sijawahi kusikia wakiomba wa anayeondoka abaki!

- Halafu unaona ndugu yangu sasa unavyokubali kwamba Demokrasia yetu ni Mungu nisaidie, Mama Maria amesema Butiku abaki maana Mwinyi asijeona tumemkimbia is this how you govern a nation, Mwalimu alimuomba awe RC ili amasaidie shuguli zake binafsi na wakati tunayo bajeti kubwa sana kwa marais wastaafu na wasaidizi, I mean thnks for this info lakini zimeishia ksuema mengi zaidi kuhusu uongozi wetu Tanzania na tulikotokea,

Respect.

FMEs!
 
Mwalimu alikuwa mtu wa kusoma na hivyo alijua kwenda na wakati. Hivyo angekuwepo wakati huu asingeshindwa kuona ubovu wa uongozi uliopo na asingeshindwa kutoa maoni ya utatuzi iwe kwa hotuba au kwa kuandika kitabu kingine.

- Sawa mkuu vipi wakati NBC inazuwa kwa bei poa si alikuwepo mkuu, au? Unakumbuka yeye kufanya anything au kuandika kitabu? Wakati Salmin anapora Urais kule Zanzibar si alikua na baraka zake Mwalimu, je alisema anything au kuandika kitabu?

- Ingawa pia ninakukubali kwamba Mwalimu alikuwa akienda na wakati lakini only kwa sababu hakusema kitu kuhusu hayo hapo, kwa kujua wakati, au unasemaje mkuu?

Respect.

FMEs!
 
Mkuu Jasusi, heshima mbele. Mwalimu alikuwa mtu aliyejali sana utaratibu na hasa katika utendaji. Baada ya kung'atuka alijitahidi kwa uwezo wake kumpa Mwinyi breathing space, yaani kutomwingilia katika utendaji.

- Mwalimu hakupenda utawala unaoheshimu sheria, ndio maana mpaka leo Tanzania hatuheshimu sheria, alipenda utaratibu hapana kiongozi akiharibu hapa alihamishiwa pengine tabia ambayo tumeirithi mpaka leo, alimpa Mwinyi space hapana asingemchagulia Waziri Mkuu, au kumwachia katibu wake mpaka msaidizi wake wa binafsi, ndege zilikuwa haziishi Butiama watu wake hasa Mkapa wakienda kushitaki, kuna siku Apiyo anashuka na ndege Musoma, huku Mkapa anaondoka na ndege nyingine, Mwinyi akapiga marufuku hizo safari ndio Mwalimu sasa akarudi Msasani, akawa na safari ya Angola anataka ndege ya Rais, somehow Ikulu wakagoma kumpa ile ndege akaishia kwenda na ndege za kawaida, kwa mara ya kwanza Mwinyi anamvuta Simba sharubu!

Pamoja na msimamo huo, hii haikumwondolea haki kama Mtanzania kutoa maoni yake kwa maswala ya kitaifa kama azimio la Zanzibar. Alijitahidi kukaa kando kwa miaka ya mwanzoni lakini siku zilivyoendelea na mambo ya ajabu ajabu kufumka alijikuta hana jinsi na kukaa kimya alijua kungemsuta. Ni Mwinyi mwenyewe aliyeomba ushauri kwa Mwalimu mara kwa mara hasa pale ambapo alikuta anakwama.

- Mwinyi hakuomba ushauri kwa Mwalimu, ndio maana kina Mkapa na Apiyo walikuwa hawaishi kwenda kuchongea Butiama, kama Mwinyi angekwua anaomba ushauri wa Mwalimu basi hiki kitabu kisingeandikwa mengine ni common sense tu. mengine

Hivyo hivyo na kwa Mkapa, Mwalimu hakuingilia hadi pale alipoanza kutoridhishwa na rasilimali za taifa zilipoanza kutapanywa ovyo. Njia aliyotumia sana ni kuwatonya kwanza na kama hilo halikufaulu aliwaita waandishi wa habari.

- Kama Mkapa angekua anaomba ushauri basi asingeweza kuuza NBC kwa bei poa, sikumbuki mkutano wowote na wananchi ambako Mwalimu alilalamika kuhusu kuuzwa kwa NBC tena kwa hela ndogo sana, huku makaburu wakitaka sheria yetu ya ardhi ibadilishwe ikidhi matakwa yao, Mwalimu alikuwepo hakusema kitu, ingawa alilalama sana in private, lakini sio in the public sababu?

- Ninachojua ni kwamba Mwinyi alipoongeza bei ya Matrekta Mwalimu alilalama sana kule Mbeya, sasa inasababisha maswali mengi sana yasiyo na majibu, kwa mfano, ipi was the worst kuuza NBC kwa bei poa, au kumshambulia Amin mpaka ndani ya Uganda ili kumrudisha Obote, na Tanzania kulipa madeni ya silaha za ile vita mpaka leo, vita ambayo alishauriwa sana kwamba iishe baada ya kumtoa Amin kwenye mipaka yetu tu ili kutuokoa na madeni? Si tunalipa yale madeni mpaka ingawa Obote wala hakudumu na Uraisi uliotugharimu sana Tanzania mpaka hii leo, au?

Respect.

FMEs!
 
Jamani mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Nyerere alikuwa kiongozi wa tofauti kabisa na viongozi wetu wa leo ! Nyerere asingekubali hata siku moja kuwa mbunge katika bunge lililogubikwa na ufisadi, yeye alijali utaifa zaidi kuliko chama. Katika moja ya hotuba zake alizungumza kwa uchungu kuhusu benki ya NBC, na alitoa sababu za msingi kwa nini isiuzwe !

Tofauti na viongozi wengine wa leo ambao wanaogopa kumsema wakina Kikwete, Mwalimu alikuwa na audacity kuwaambia watu kile wanachotakiwa kusikia na sio kile tuu wanachotaka kusikia. Mwalimu ameandika vitabu vingi sana katika maisha yake, kwa nini hawa viongozi wengine wasiandike vyao ? Tupate hadithi ya upande wa pili .

Kumlaumu Nyerere kutokana na vile vinavyooendelea leo itakuwa ni kushindwa kuona mbali. Mwalimu alisema wazi pale Mbeya ni Rais wa aina gani tunaomhitaji, na watanzania wategemee nini kutoka kwake . Sasa kama Mzazi alifanya kazi yake , mtoto akaamua kudiverge from his/her parent directives: how are you then going to blame the parent?
 
Jamani mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Nyerere alikuwa kiongozi wa tofauti kabisa na viongozi wetu wa leo ! Nyerere asingekubali hata siku moja kuwa mbunge katika bunge lililogubikwa na ufisadi, yeye alijali utaifa zaidi kuliko chama. Mwalimu

- Ni kweli kabisa mkuu Mwalimu was the greatest, lakini usisahau kwamba alibariki Salmin kupora Urais kule visiwani, alikuwa ni bin-adam mwenye mengi mazuri na mapungufu, ambayo tunayalipia mpaka leo.

- Lakini haibadili ukweli kwamba hakwua mwizi wala fisadi, hilo hatukatai.

With all due respect, sielewi kwa nini unapoteza muda mwingi kutetea watu ambao wanaweza kujitetea wenyewe - hawa watu bado wako hai . Kwa nini hawaandiki vitabu vyao, ili watu wajifunze kutoka kwenye mafanikio na kushindwa kwao ?
 
Kama tukiambiwa tuweke kwenye mizani hayo mengi mazuri na upande mwingine hayo yanayoitwa mapungufu ni upande gani utaelemea? Hakuna namna ya kukataa jinsi gani Mwalimu alivyojitolea kusimamisha taifa hili tulilonalo leo.Misingi iliwekwa na hatuwezi kumlaumu tu kwa kuwa misingi ile haikupelekea kusimamisha nyumba Imara, wajenzi walikua ni wengi na wengine walikua kama wale mafundi wa mtaani waibao cement na kupelekea nyumba kumomonyoka miezi michache tu baada ya ujenzi.
 
- Mkuu Jasusi, with all due respect, kama nilivyosema huko nyuma wewe ninakuaminia sana, now naomba kuuliza Obama kumuomba Karl Rove abaki amsaidie? Ungesema alimuomba Apiyo nisingepata wasi wasi kwamba ni kweli, lakini Rais mpya amuombe personal assistant wa anayeondoka, on a serious note unajua hii inaweza kwenda kwenye Guiness Record book kwa sababu haijawahi kutokea duniani, labda sisi Tanzania ndio tunakwua wa kwanza, kwa sababu Mwinyi alipokuwa Rais wa Zanzibar si alikuwa na msaidizi wake wa binafsi na alikuwa enough experience na Urais, I mean haijakaa sawa hii! Tumeona viongozi wadogo wakihama na wasaidizi wao, sijawahi kusikia wakiomba wa anayeondoka abaki!

- Halafu unaona ndugu yangu sasa unavyokubali kwamba Demokrasia yetu ni Mungu nisaidie, Mama Maria amesema Butiku abaki maana Mwinyi asijeona tumemkimbia is this how you govern a nation, Mwalimu alimuomba awe RC ili amasaidie shuguli zake binafsi na wakati tunayo bajeti kubwa sana kwa marais wastaafu na wasaidizi, I mean thnks for this info lakini zimeishia ksuema mengi zaidi kuhusu uongozi wetu Tanzania na tulikotokea,

Respect.

FMEs!
FMES,
Hii comparison ya Obama na Karl Rove haina mshiko. Kumbuka Mwinyi ni CCM na Mwalimu alikuwa CCM. Afadhali ungetoa mfano wa Al Gore kama angeshinda amwombe msaidizi wa Bill Clinton abaki White House kuendelea kumsaidia wakati wa transition, jambo ambalo hufanyika wakati wote mgombea rais wa chama kimoja anaposhinda na kumrithi mwenzake kutoka chama hicho hicho hapa Marekani.. Kumbuka Mwinyi hakuwa na "watu wake" mainland, na mimi nadhani kweli pale mwanzo alihitaji msaada wa watu watakaosaidia kum guide through the intricacies of the State House. Butiku hakuwa personal secretary wa Mwalimu alikuwa Private Secretary, a much higher title than personal secretary au assistance na alikuwa na Mwalimu Ikulu kuanzia mwaka 1965. Anyway, nilichokisema katika bandiko langu nakijua kuwa fact.
 
-

Hii ya Mama Maria haina uhusiano wowote na demokrasia yetu. Mwalimu, nilivyomjua, hakutaka kumlazimisha Butiku abaki Ikulu. Katika mazungumzo yao pale Msasani Mama Maria alishauri tu siyo kwamba alikuwa anafanya maamuzi ya
Ikulu. Hiki kilikuwa kikao cha kifamilia, Mwalimu alishastaafu, na wala si policy session. Mwalimu aliomba Butiku "amsaidie" pale Mara baada ya kuona kuwa Mwinyi ana Private Secretraries wawili pale Ikulu. It was Mwalimu's way of getting Butiku out of the State House kwani hatujawahi kuwa na Private Secretaries wawili pale.Ni kama Mwalimu alikuwa anamwambia Mwinyi, nirudishie mtu wangu naona sasa humhitaji.
 
Jamani mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Nyerere alikuwa kiongozi wa tofauti kabisa na viongozi wetu wa leo ! Nyerere asingekubali hata siku moja kuwa mbunge katika bunge lililogubikwa na ufisadi, yeye alijali utaifa zaidi kuliko chama. Katika moja ya hotuba zake alizungumza kwa uchungu kuhusu benki ya NBC, na alitoa sababu za msingi kwa nini isiuzwe !

Tofauti na viongozi wengine wa leo ambao wanaogopa kumsema wakina Kikwete, Mwalimu alikuwa na audacity kuwaambia watu kile wanachotakiwa kusikia na sio kile tuu wanachotaka kusikia. Mwalimu ameandika vitabu vingi sana katika maisha yake, kwa nini hawa viongozi wengine wasiandike vyao ? Tupate hadithi ya upande wa pili .

Kumlaumu Nyerere kutokana na vile vinavyooendelea leo itakuwa ni kushindwa kuona mbali. Mwalimu alisema wazi pale Mbeya ni Rais wa aina gani tunaomhitaji, na watanzania wategemee nini kutoka kwake . Sasa kama Mzazi alifanya kazi yake , mtoto akaamua kudiverge from his/her parent directives: how are you then going to blame the parent?

- Mkuu naona umeongeza maneno over your original post, ni kwamba kama kweli Mwalimu alikuwa na hiyo tabia unayoisema, basi angekemea kuuzwa kwa NBC, tabia hiyo ya Mwalimu ilikuwa siku zote inaangalia sura kwanza, ndio maana alimbariki Salmin kuiba urais, can you imagine Malecela ndiye angeiba urais, ingekuwaje?

- Viongozi wengine wasingeweza kuandika vitabu kuhusu tabia za Mwalimu isingewezekana it was simply impossible you know that, tumjadili Mwalimu kama bin-adam na sio kama Mungu, na tupeni nafasi na wengine tu-present the otherside kuliko kutaka kutulazimisha wote tuimbe wimbo mmoja, wa-Tanzania tujifunze kutengniasha mapenzi yetu wka Mwalimu na Mapnezi kwa taifa, inatakiwa kuwa vitu viwili tofauti.

Respect.

FMEs!
 
With all due respect, sielewi kwa nini unapoteza muda mwingi kutetea watu ambao wanaweza kujitetea wenyewe - hawa watu bado wako hai . Kwa nini hawaandiki vitabu vyao, ili watu wajifunze kutoka kwenye mafanikio na kushindwa kwao ?

- Vipi mkuu mbona kwenye hii htread umekua ukihangaika sana, hapa ni JF where we dare, demokrasia at work yaani kuangalia ishu pande zote mbili, hakuna tatizo mkuu tunajaribu kujadili kitabu na author wake Mwalimu, that is all! kama hampendi basi tutakaa pembeni muandike mnaofanana, au?

FMEs!
.
 
Kama tukiambiwa tuweke kwenye mizani hayo mengi mazuri na upande mwingine hayo yanayoitwa mapungufu ni upande gani utaelemea? Hakuna namna ya kukataa jinsi gani Mwalimu alivyojitolea kusimamisha taifa hili tulilonalo leo.Misingi iliwekwa na hatuwezi kumlaumu tu kwa kuwa misingi ile haikupelekea kusimamisha nyumba Imara, wajenzi walikua ni wengi na wengine walikua kama wale mafundi wa mtaani waibao cement na kupelekea nyumba kumomonyoka miezi michache tu baada ya ujenzi.

- Mkuu with all due respect, ni suala la kuchagua moja either Mwalimu alikwua na mapungufu au alikua hana, kumbe yeye akwia kiongozi wajenzi walikuwa wengi, lakini Malecela akwia Waziri Mkuu mjenzi aliwkau mmoja tu mpaka kuandikiwa kitabu chote hiki! Sawa sawa mkuu umesikika.

Respect.

FMEs!
 
FMES,
Hii comparison ya Obama na Karl Rove haina mshiko. Kumbuka Mwinyi ni CCM na Mwalimu alikuwa CCM. Afadhali ungetoa mfano wa Al Gore kama angeshinda amwombe msaidizi wa Bill Clinton abaki White House kuendelea kumsaidia wakati wa transition, jambo ambalo hufanyika wakati wote mgombea rais wa chama kimoja anaposhinda na kumrithi mwenzake kutoka chama hicho hicho hapa Marekani.. Kumbuka Mwinyi hakuwa na "watu wake" mainland, na mimi nadhani kweli pale mwanzo alihitaji msaada wa watu watakaosaidia kum guide through the intricacies of the State House. Butiku hakuwa personal secretary wa Mwalimu alikuwa Private Secretary, a much higher title than personal secretary au assistance na alikuwa na Mwalimu Ikulu kuanzia mwaka 1965. Anyway, nilichokisema katika bandiko langu nakijua kuwa fact.

- Mkuu Jausi, kisichokuwa na mshiko ni kushauri kwamba Private Secretary wa Rais mmoja kubaki kuendelea kuwa wa Rais mpya, it absolutely impossible na haijawahi kutokea ndio maana ninasema Tanzania tunahitaji kuingia kwenye Guiness Book for this act, kwa sababu sikuona Kumchaya akibaki kuwa Private Secretary wa Kikwete na hawa wote ni wa CCM, ila umesikika sana mkuu.

Respect.

FMEs!
 
FMES,
Hii ya Mama Maria haina uhusiano wowote na demokrasia yetu. Mwalimu, nilivyomjua, hakutaka kumlazimisha Butiku abaki Ikulu. Katika mazungumzo yao pale Msasani Mama Maria alishauri tu siyo kwamba alikuwa anafanya maamuzi ya
Ikulu. Hiki kilikuwa kikao cha kifamilia,
Mwalimu alishastaafu, na wala si policy session. Mwalimu aliomba Butiku "amsaidie" pale Mara baada ya kuona kuwa Mwinyi ana Private Secretraries wawili pale Ikulu. It was Mwalimu's way of getting Butiku out of the State House kwani hatujawahi kuwa na Private Secretaries wawili pale.Ni kama Mwalimu alikuwa anamwambia Mwinyi, nirudishie mtu wangu naona sasa humhitaji.

- Haya jamani naomba ku-retire hapa, nafikiri nimejitahidi sana ku-present upande wa pili wa hiki kitabu, sioni jpya ila yale yale ya kawaida ya kumkingia Mwalimu kua sio bin-adam wa kawaida, ninawaruhusu wakuu wote mnaokubaliana kuendelea.

- Sitairudia tena hii thread.

Thanks.

FMEs!
 
- Mkuu with all due respect, ni suala la kuchagua moja either Mwalimu alikwua na mapungufu au alikua hana, kumbe yeye akwia kiongozi wajenzi walikuwa wengi, lakini Malecela akwia Waziri Mkuu mjenzi aliwkau mmoja tu mpaka kuandikiwa kitabu chote hiki! Sawa sawa mkuu umesikika.

Respect.

FMEs!

Karibu wote tunafahamu kuwa Mwamlimu was human being, he was not a saint. That means he had weaknesses just like you and i. Lakini ukweli ni kwamba he believed in what he was doing, stood by it and strongly defended it. Completely the opposite of what we see today. Ubabaishaji na porojo nyingi kuliko utendaji.

Lakini ukianza kuwajudge kina Malecela kwa mujibu wa kitabu alichoandika Nyerere, am not sure kama itakuwa fair. Are we sure that Malecela was believing in Ujamaa na kujitegemea? or he was justing singing the song of the day? What if Malecela writes a book today, what will he say about Mwalimu and the reason why we as a country are corrupt and visionless. Or can we just ask him to publicly give his honest opinion of what is currently going on in Tanzania, tuone kama ni mnafiki au vipi. Tumeona madongo mengi anatupiwa na amekuwa mstaarabu sana kuwa low key, tofauti na wengine ambao wanatumia media kurusha jibes za ajabuajabu.

On the other side if he says mwalimu was wrong am sure i will be first to criticize him, simply because what mwalimu was thinking at that time was right at that epoch. Na sikubaliani na mwalimu kum-ridicule Malecela kwa "weakness" iliyoonekana during the serikali ya Tanganyika. Kulikuwa na sababu za msingi ambazo mpaka leo bado hazijawa addressed, PM yoyote kwa wakati ule kama si dikteta angesikiliza wanachotaka wabunge. Mengi aliyofanya Malecela wakati ule ni kutokana na hali ya wakati ule. By the way yeye hakuwa rais na wala hakuwa spika wa bunge.

Kuna watu wengi walikuwa wanafiki sana wakati wa mwalimu na wakaendelea hivyo wakati wa Mwinyi simple because waliokuwa wanaona aibu kuwa mwalimu atawalipua. At least MZee Malecela has remained himself, as far as i know. Ona Mzee Kingunge alifikia hata hatua ya kumkataa Mungu na kujiita mkomunisti, he "stood" by rules za chama, laws of the land, and was "discplined" man. Look at him today, after Mwalimu's death he has shown his true colours, anatetea ufisadi waziwazi, aliitisha hata press conference kusema kina Slaa waongo, na ukweli umeonekana kuwa yeye ndiye alikuwa anaongopa.
 
Back
Top Bottom