Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
- Thread starter
-
- #21
Sina frem badoDuka liko wapi Anne
Nashindwa kutambua ni ipi maana hizi bottles huwa zinafanana mara nyingine.Mkuu habari mnisaidie tu kujua hii perfume inaitwaje, nliinunua kwenye maonesho ya kichina box ndo liliandikwa sasa nlilitupa , hii imeisha imebidi nizunguke madukani na kichupa kila duka haipoView attachment 2522112
Hapana MkuuCobra unayo?
Hii kitu huwa naikubali sana. Vipi inakaa Kaa kwenye mwili kama Ile og?
25,000/= tuUna uzaje hii maana yangu imeisha hapa. View attachment 2522489
Inakaa MkuuHii kitu huwa naikubali sana. Vipi inakaa Kaa kwenye mwili kama Ile og?
Nitakucheki nikirudi jijini.Inakaa Mkuu
Umeambiwa unaletewa ulipo, unataka duka la niniDuka liko wapi Anne
Asante nitakutafuta.25,000/= tu
Karibu.
Sitaki kuletewa nafata mwenyeweUmeambiwa unaletewa ulipo, unataka duka la nini
Nenda SH Amon, mambo yasiwe mengi.Sitaki kuletewa nafata mwenyewe
Ideal mix na MonacoNitakucheki nikirudi jijini.
Una pigo gani za kike amvaxo SI Kila mtu ananukua?
KaribuAsante nitakutafuta.
Hii sinaUnap perfyum ya Royal mirage
How much?
Knowledge 45kknowledge unauzaje?