Snipper
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,336
- 2,171
Karibuni mjipatie Shamba la eka saba na nusu kwa bei nafuu ya shilingi milioni 20. Shamba liko umbali wa kilomita tatu na nusu kutoka barabara ya lami ya Dar Morogoro. Shamba linafaa kwa ufugaji wa kuku, mbuzi, bata na mifugo mingine.
Huduma ya maji ya DAWASA imesogezwa karibu na shamba umbali wa mita 400. Shamba liko jirani na Chuo cha Mainjinia wa Ndege hivyo kwa baadae ni eneo zuri kwa kuwekeza katika ujenzi wa hosteli. Baadhi ya majirani wameshaanza ujenzi wa nyumba za kuishi na mabanda ya ufugaji. Karibuni sana tufanye biashara.