SAFARNDEFU
Senior Member
- Jul 19, 2018
- 179
- 59
- Thread starter
- #101
Tunaelewa hali halisi ya maisha kwa sasa, kwamba kulipa yote kwa pamoja inaweza ikawa changamoto kwa wengi ndio maana tunakupa fursa ya kulipa kidg kdg kwa awamu, mara baada ya kuwa umelipia asilimia 50 ya bei ya kiwanja. Karibuni nyote.