Akili sawa
Member
- Jul 28, 2018
- 58
- 39
U mesahau kuwa LAWAMA KWA DALALI NI CHEOWatu kama hawa inabidi tuwazoee na kuwavumilia tu mkuu ili maisha mengine yaendelee.
U mesahau kuwa LAWAMA KWA DALALI NI CHEOWatu kama hawa inabidi tuwazoee na kuwavumilia tu mkuu ili maisha mengine yaendelee.
[emoji2], japo mimi sio dalali mzee. Kampuni yetu ina mkurugenzi, meneja, kitengo cha masoko ambacho mm ni mmoja wapo , mafundi, mhasibu wa kampuni, secretary etc.U mesahau kuwa LAWAMA KWA DALALI NI CHEO
Vina hati miliki na vipo kwa ajili ya matumizi gani ktk ramani za mipango miji?Viwanja bado vipo, njoo ujichagulie cha kwako.
Viwanja vimepimwa ni vya makazi ktk mipango miji,Vina hati miliki na vipo kwa ajili ya matumizi gani ktk ramani za mipango miji?
Hati?Viwanja vimepimwa ni vya makazi ktk mipango miji,
IpoHati?
Weka picha
Picha ya kiwanja sio kigezo cha kukupa taswira kamili ya eneo, usiamini kiivyo, naweza nikapiga picha mandhari yoyote nzr nikakutumia kumbe ndivyo sivyo, kama una uhitaji kweli wa kiwanja njoo physical ujionee.Weka picha
Picha ya hatiPicha ya kiwanja sio kigezo cha kukupa taswira kamili ya eneo, usiamini kiivyo, naweza nikapiga picha mandhari yoyote nzr nikakutumia kumbe ndivyo sivyo, kama una uhitaji kweli wa kiwanja njoo physical ujionee.
Imewekwa namba ya simu hpo, ukiwa na muda uje ujionee uhalisia ndugu, acha ubabaishaji.Picha ya hati
Yani unataka nipige picha hati ya mtu niweke hapa!!!!, hatuna sababu ya kukuaminisha sana, wahitaji wanakuja na tunafanya nao biashara.Picha ya hati