Jipatie viwanja safi kabisa na vilivyopimwa Kiluvya 3km toka Mbezi

Jipatie viwanja safi kabisa na vilivyopimwa Kiluvya 3km toka Mbezi

Habari mkuu, karibuni mujipatie viwanja safi kabisa kwa bei ya ofa.

Viwanja vipo kiluvya, ambapo ni 3km toka mbezi mwisho.

Kutokea hpo kiluvya mpk kwenye viwanja ni 3km pia

Viwanja vipo sehemu tambarare kabisa na huduma zote za kijamii kama MAJI, UMEME, ZAHANATI, SHULE NK vyote vipo.

Mteja anaruhusiwa pia kulipa kwa awamu mara baada ya kuwa amelipa asilimia 50 ya bei ya kiwanja.

Bei ya viwanja kwa ukubwa wa mita 20*20 inaanzia 1.8m, na vilivyopo katika maeneo yetu yenye huduma tajwa za kijamii hapo juu bei ni 3.6m.

Karibu ujipatie kiwanja chako na uweze kuanza ujenzi wako tuepuke kusumbuliwa na baba mwenye nyumba.

Mawasiliano 0716-479547 /0752399070

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hiyo 20x20 ni mita au futi, ili wkend hii nije ku-survey.
 
Kwa wale wanaotaka Bagamoyo,viwanja vipo mpiji darajani-Mapinga.Mita 600 kutoka Bagamoyo Road.
I.Upana mita 25* Urefu 35 mita
Bei 25 milioni
II.Upana mita 30*Urefu 70 mita
Bei 50 milioni
Vyote vipo kando ya barabara za mitaa;umeme upo na maji ya DAWASCO.Ukitaka nusu unauziwa.
Angalizo:Havijapimwa na malipo popote unapotaka iwe serikali ya mtaa au wakili.
Simu:0784151762
 
Unatakiwa ukaombewe haraka sana.
 
Huna hela kaa kimya,Mungu alishanibariki ndiyo maana nawauzia wasio navyo.
Madalali wengi hamna akili, mnakuwa na illusions ambazo haziendani na uhalisia na mwisho wa siku mnawaponza wenye mali. Kwa akili zako za kipopoma huwezi kufanikiwa hata siku moja na ukiuza hicho kiwanja basi katambike.
 
Back
Top Bottom