butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,769
- 8,260
Wewe una mental disorder, acha kurukiarukia na kusakama mtu msiemjua.Mimi nauza Mali yangu binafsi,acha kukariri mkuu.Nilikwambia wewe lofa huna hela kaa kimya.Madalali wengi hamna akili, mnakuwa na illusions ambazo haziendani na uhalisia na mwisho wa siku mnawaponza wenye mali. Kwa akili zako za kipopoma huwezi kufanikiwa hata siku moja na ukiuza hicho kiwanja basi katambike.